Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,806
- 59,285
Mai mai mai! Run boy, run fast, very fast
We vipi?
Mai mai mai! Run boy, run fast, very fast
Mi nakulazimisha kujibu maswali yote au nikufelishe mtihani!
Hahahaaa
Nitayajibu kwenye new thread . . . . Coming very soon.
Halafu kumbe tupo kwenye national exams? Nilifikiri ni mocks.....uwe unasema bana
Ahh wapi!Ukiwa unalia atakubembeleza?He is just trying to help.
Men thing, u know?!
Hahahahah,nimecheka kweli.unataka kwenda eeeh!
pls mwenye taarifa za mwanajamii1 anijulishe tafadhali,au nae kaenda Loliondo??
she is around,nimeenda kumwita....
Nimesikia jamaa ameshatia maji, amegeuka kibiashara zaidi
Big gal,i knew u cant let me down...cheers!!
nimetamani kuquote post ya michelle kinomi yaanihata maji mi nitakunywa tu kwa imani....twendeni....kama unampenda Michelle....... mpeleke Loliondo......!!!
nimetamani kuquote post ya michelle kinomi yaani
Ben
Watz up dia?
Haya nambie unanipeleka Loliondo??
Naanza kukausha nyama ..................................
Now...Now...NOWWWW
hehehe hatuna haja ya kutumia kinga tena. nimeludi loliondo na mambo ni mswano kabisa. amenipa vikombe viwili kimoja ni cha kinga. sasa hata nikiwanywa HIV kama supu siasiriki. babu na asifiwe . aaaaaaaaaamennaona una nafuu....vipi babu anasemaje?? pole sana Kloro,tuko hapa na Ben tunam miss Mwanajamiione
Ben
Watz up dia?
Haya nambie unanipeleka Loliondo??
Naanza kukausha nyama ..................................
Haya sasa, check inbox yako ya chumbani.
Mmmh sio mtakuja kuniuzia kweli?Tena buku tano!
hehehe hatuna haja ya kutumia kinga tena. nimeludi loliondo na mambo ni mswano kabisa. amenipa vikombe viwili kimoja ni cha kinga. sasa hata nikiwanywa HIV kama supu siasiriki. babu na asifiwe . aaaaaaaaaamen
We vipi?