Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,411
Jamani nani ana taarifa za huyu ndugu.......Voice of Reason! I have missed him....
Anapumzika kidogo na JF Keren!Mwenyewe anawamiss sana!
Jamani nani ana taarifa za huyu ndugu.......Voice of Reason! I have missed him....
Nikadhani umenisahau!Me miss you too Muhos
Anapumzika kidogo na JF Keren!Mwenyewe anawamiss sana!
Thank you guys! ngoja nikaweke pembeni hapa, nakuja..!!!!
mi watu wananiboa kweli,wakitoka Loliondo ndo wanasema,wakiwa wanaenda kimya.....!!! mtu anayeenda plz anijulishe.....hamtaki kuwa na mimi hapa kwa muda mrefu zaidi??
mi watu wananiboa kweli,wakitoka Loliondo ndo wanasema,wakiwa wanaenda kimya.....!!! mtu anayeenda plz anijulishe.....hamtaki kuwa na mimi hapa kwa muda mrefu zaidi?? Muhosni and Keren....please,lets go!!!

Lets go dear, Muhosni, we are ready...........lane:
Siyo rahisi kukusahau lizzy, si unakumbuka ulikuwa wa kwanza kunikaribisha humu?
Nimesikia jamaa ameshatia maji, amegeuka kibiashara zaidi
We hupendi..humiss wala hutafuti?
Afadhali!
Sitafuti, nishapata japo mtata kweli.
Hayo mengine nagoma kujibu.
Okay asante Lizzy kwa taarifa.....kama inawezekana mfikishie salaam from Keren!
He he hee...kama anafanya usanii,itagharimu wengi.kakobe nae anamuhofia,mambo ya kiroho yanaingiliwa na mfumo wa kibepari.Duh!
Yaani nimejifunza,watanzania hawana matumaini,hadi ikitokea au kusemwa chochote kinafuatwa desparately without logic or faith.Hii inaweza toa majibu muhimu sana kwenye research
Sitafuti, nishapata japo mtata kweli.
Hayo mengine nagoma kujibu.
Sitafuti, nishapata japo mtata kweli.
Hayo mengine nagoma kujibu.
Tutachukua dawa nyingi tukirudi tukugawie