naona aibu ila nilifurahi sana....you are too sweet...naondoka zangu.....karibu tandale....tule ugali kwa ndimu,chumvi na samaki upumzike kula ma mexican chicken......!!! me miss and will miss you too!!
am proud of myself.....did/shake it just like my aunt taught me....l.o.l
U r the best,nimepata majibu ya ile thread ya mpango wa kando....nitakupigia tuspend weekend yote mimi na wewe
Au,let me come over.....tutapanga nikija Tandale.I miss u big !!!
Am still waiting for you....ukichelewa zaidi naenda kwenye ngoma...miss you too!!
Nawamiss wengi..
Wengi wa zamani wamedisappear...
Ama wanafungua blog zao?
mi pia sielewi. Kuna mtu nimemmiss hadi natamani kulia.
Humu ni malove, kumiss na kutafuta wake na wame sio?
Im out.
I miss the following:
Mwanajamiione
Michelle
Gaga
Magulumalu
CPU
Madabwada
Karen_Happuch
Golden Mpoleee
Na wengine wengi....
Hebu tutajie japo watatu tu.
Mi nimekumiss......
Sweetie katika hao, MwanajamiiOne kuna sehemu nimemwagiza kwa kazi maalum atarudi soon,
Michelle hata mimi nimemmiss sijui kapatwa na nini
GM atakuwa shule sasa tena boarding nadhani hata simu hawaruhisiwi
CPU itakuwa imecorrupt hadi lawayer ado ze nidiful
Umenionea huyu mpwa wetu Mwali? Mbona siku hizi anatoka toka hivi il hali muda wa kufundwa bado?
Niko hapa niece... acha kulia mie sipendi ulie.... Mzima lakini? Is life and Judgement treating you good?
Aunt Shkamoo!
Treatin' anayopata mwanao kwangu hata mie siongei acha tu aseme mwenyewe ! Saana analalamika kwa nini amechelewa kuwepo kwenye teritory ya mimi .
Nakuthamini Shangazi mzaa chema .
Hee ! Aunty yamekua haya? Nimefikicha macho yangu siamini ! Kama ndiyo wewe Shangazi !
All above pamoja na nnachokiona hapa i'm still yet love you too!
Nakupenda sana japo diagnosis naziona kama zilivyo!
Sio kwamba sikupendi (ila nikiri I loved Uporoto more maana alikua ananikatia mkwanja mrefu); Ila tu I am looking out for her, hivo usijali hata mimi pando penda wewe.... lol