Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,338
- 17,875
Judgement kama wanandugu huwafahamu kua mpole uwahafamu kwanza... Husny ni niece yangu na nimemkuta kwa Mjombake alie mlea toka yupo miaka 5. then from nowhere unakuja wamkashifu ankal wake.... Mume wa Shangazi yake! It is my man your are addressing hapo kama mpaka rangi za kucha!! He can never ever be that!
I am so Mad ngoja nilog out nitaishia kukutusi niwe Kongoshod! Uporoto nilimpenda kabla hata hajawa na Utajiri alo nao.. lol
Sweetie najiuliza kilichomfanya Judgement aongee hayo aliyoongea hapo juu ni nini?
What went wrong au anataka tumnyime mke? anadhani kwa kudelete post hatukuiona?
Judgement that was too low for you....au niseme hukujua unafanya nini?
Angalia mazee...."dont take my number"......