I Miss U Mwanajamii1...

I Miss U Mwanajamii1...

whaaaaaaaaaaat?? unaniharibia soko Ben....ni wivu tu jamani? mbona wewe sikusemi na MJ1? tuvumiliane tu Ben ili tuweze kufurahia.....:wink2:

Ha ha ha,poa basi...mpige biti Kloro...Mj1 yeye ni original sasa,hapa si unajua tunaiba tu?huoni hata nyumba ndogo inaleta wivu?poa basi wacha nipotezee,ila mdhibiti kloro atatuharibia.....
 
@Michelle,

Njoo Huku Osterbay luv,mpe simu driver nimuelekeze.....mechi tutaangalia kule chumbani....:decision::decision::flame:😛ray:
 
Huko si nasikia ni kwa wakubwa? sasa nikodi daladala lote mwenyewe linilete huko? huyu hapa dereva ongea nae....:decision:

Kloro utajiju,mwenzio nimeoga na mjini nakwenda leo.....bahati iliyoje? wakati wa kuangalia mpira usizime taa Ben....mi naogopa giza......:A S 13:
 
khaaa! :A S 13::A S 13:
 
Yukoje huyu Michelle? mbona wakatisha wenzio tamaa? yakikushinda wewe haimaanishi kila mtu kashindwa.....:mullet:
toba! khaa! :A S 13:

acha nikazungushe antenna lielekee nou camp. leo ass nal a.k.a asha na ali lazima tumbugize sita bila nguo.
 
Wakuu naomba kuulizia huku uchochoroni (nisijewekwa lupango).

Asubuhi nilipita hapa jukwaa hili nikakuta sredi inayosema MMU siku hizi kunaboa. Niliacha kuna pepo linaanza kuingia mle. Jioni hii nikirudi hapa very curious kujua yaliyojiri. Siioni tena ile sredi.

Hebu nijulisheni kunani wakuu. Polepole mods wasisikie, maana siku mbili hizi mmmmm
 
:A S 13::A S 13: thread imehifadhiwa..... no more discussion is allowed ukiona hivyo!!
 
Huko si nasikia ni kwa wakubwa? sasa nikodi daladala lote mwenyewe linilete huko? huyu hapa dereva ongea nae....:decision:

Kloro utajiju,mwenzio nimeoga na mjini nakwenda leo.....bahati iliyoje? wakati wa kuangalia mpira usizime taa Ben....mi naogopa giza......:A S 13:

Usijali si uliona jana niliwasha ya Rangi,ilipendeza ukiwa ndani ya night dress nyepesi rangi nyeupe hata ile uliyovaa baadae ya bluu mtelezo...

Nilifurahi kwa kweli,i really miss u.Nisubiri narudi,sijawahi kujiskia jinsi nlivyojiskia jana...Ndo maana klorokwini alikuwa anang'ang'ania?sasa tuweke mkakati tumlie hela,tupange mbinu za kichagga!lol
 
heheh inaonekana bado haujamjua michelle, mdogo mdogo utamjua tu.

Acha biti,hapa halikolei.......Hapa mtoto kafika,kilichobaki ni kutekeleza maazimio ya jana tuliyowekeana tu baada ya game...:decision::decision::decision:
 
Usijali si uliona jana niliwasha ya Rangi,ilipendeza ukiwa ndani ya night dress nyepesi rangi nyeupe hata ile uliyovaa baadae ya bluu mtelezo...

Nilifurahi kwa kweli,i really miss u.Nisubiri narudi,sijawahi kujiskia jinsi nlivyojiskia jana...Ndo maana klorokwini alikuwa anang'ang'ania?sasa tuweke mkakati tumlie hela,tupange mbinu za kichagga!lol

naona aibu ila nilifurahi sana....you are too sweet...naondoka zangu.....karibu tandale....tule ugali kwa ndimu,chumvi na samaki upumzike kula ma mexican chicken......!!! me miss and will miss you too!!
 
Wakuu naomba kuulizia huku uchochoroni (nisijewekwa lupango).

Asubuhi nilipita hapa jukwaa hili nikakuta sredi inayosema MMU siku hizi kunaboa. Niliacha kuna pepo linaanza kuingia mle. Jioni hii nikirudi hapa very curious kujua yaliyojiri. Siioni tena ile sredi.

Hebu nijulisheni kunani wakuu. Polepole mods wasisikie, maana siku mbili hizi mmmmm

aisee lithread langu limewekwa pending.
Mi pia nilitoka kurudi sijaikuta.
Nimeambiwa kulikuwa na vurugu.
Poleni wakuu, nimejisikia vibaya kweli, bora sijashuhudia hilo timbwili.
 
Back
Top Bottom