I Miss U Mwanajamii1...

I Miss U Mwanajamii1...

Haya Happy women's day...Tupange ratiba zetu luv, Mwanajamii1 kanzingua nikapotea kwa Muda,kama vipi tumzingue atangulie Loliondo sisi tule zetu chaka Zanzibar...nimempiga biti kwamba vipi haniamini,atapoa tu.Ilibidi niwe mkali,ili anipotezee coz ana wasi wasi tayari.Sasa njoo huku Q-bar tupange basi

Thank you Ben....leo siku yetu.....tunafuraha sana...ratiba unapanga wewe luv....mi nakushauri tuende kwa Babu then tutorokee Zanzibar....

akiona hii msgs wivu utamleta hapa.....unless otherwise amekupotezea.....nikuibe mazima.....:A S 13:
 
I will keep a distance from you ili awe na amani.....twendeni pls,ile dawa yaweza kwisha...inatibu hata magonjwa usiyoyajua....l.o.l:wink2:
Jus kip distance strategically but mipango yetu iendelee covertly.....
Ila sasa hapo umeniacha hoi,mhh...njoo Q-bar tulijadili kwa kina.lol
 
Thank you Ben....leo siku yetu.....tunafuraha sana...ratiba unapanga wewe luv....mi nakushauri tuende kwa Babu then tutorokee Zanzibar....

akiona hii msgs wivu utamleta hapa.....unless otherwise amekupotezea.....nikuibe mazima.....:A S 13:

Poa basi si uje tutokee huku Q-bar ama?Mimi nimejifanya kukasirika,cmu nazima kwa siku 7 mfululizo.Hata akitia timu hapa haina noma hata yeye si anajua...mcheki hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/113435-nauliza-tu-is-it-possible.html

Zanzibar nshafanya booking.Kama vipi Loliondo tuipotezee tu bwana,kwani maradhi yako yanatisha?
 
Mhh.....Sasa naona kuna ajenda za siri,wacha nirudi kwa Mwanajamii1 wangu coz,Michelle nae,naona mipango ya kando si haba
 
Jus kip distance strategically but mipango yetu iendelee covertly.....
Ila sasa hapo umeniacha hoi,mhh...njoo Q-bar tulijadili kwa kina.lol

jamani Ben...wajua sipajui huko nimezoea kwetu kwa fisi huku tandale,ni wapi iko hiyo BAR??? nipande mabasi ya wapi kufika huko? nauli ni shilingi ngapi? je nitapata kampani ya kuangalia mpira arsenal na barca kama nayopata huku kwetu kwa shilingi 200???
 
Poa basi si uje tutokee huku Q-bar ama?Mimi nimejifanya kukasirika,cmu nazima kwa siku 7 mfululizo.Hata akitia timu hapa haina noma hata yeye si anajua...mcheki hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/113435-nauliza-tu-is-it-possible.html

Zanzibar nshafanya booking.Kama vipi Loliondo tuipotezee tu bwana,kwani maradhi yako yanatisha?

sawa,basi promise me tukitoka zanzibar utanipeleka kwa babu.....maradhi yangu hayatishi kwa kuwa kuna dawa za kuongeza muda wa kuishi
 
nikupitie au umehairisha? leo ni siku ya wanawake nataka ukafurahie uanamke wako. (naomba hii post isipelekwe jukwaa la kikubwa)

sina access ya kule....sijahairisha.....niko nafanya uamuzi kutoka na shalobaro kwenda beach au kwenda Q-bar na mpenzi wa mtu??
 
Mhh.....Sasa naona kuna ajenda za siri,wacha nirudi kwa Mwanajamii1 wangu coz,Michelle nae,naona mipango ya kando si haba

whaaaaaaaaaaat?? unaniharibia soko Ben....ni wivu tu jamani? mbona wewe sikusemi na MJ1? tuvumiliane tu Ben ili tuweze kufurahia.....:wink2:
 
sina access ya kule....sijahairisha.....niko nafanya uamuzi kutoka na shalobaro kwenda beach au kwenda Q-bar na mpenzi wa mtu??
yaani unamuita ben shalobalo? khaaa! aisee wewe mdada mjasiri kweli
 
Kloro...sote tunatambua wewe ndo shalobaro wa JF.......BEN ni mpenzi wa mwanajamii one.....usiniletee kesi Kloro....wivu utakuua,utaoga na mjini siendi na wewe.....:mullet:
 
lizzy mwenzio alileta kauli kama hizi halaf baadae kakaja kuomba razi eti kanataka at least kupiga picha na mimi kajiskie faifu star na yeye. nawewe ni matter of time tu. I am ze best in town bana!
idumu JF chit chat
 
utasubiri sana na kuoga.....narudia kusema.....mjini huendi na picha hupigi na mimi!!!
 
Back
Top Bottom