I feel played

I feel played

That sounds like a big joke
Utoto unakusumbua. There comes a point when a man thinks more about how is going to make that next million than when he is good ng to talk to you.

Simply, mapenzi ya honey umekula nini wanafanya watoto,grown ups talk more about opportunities than mapenzi. Wewe unataka uongee nae kila siku for 4 hours mtaongea nini? Leo ulivaa viatu vyekundu ukakutana na mtu kavaa vyeusi!!!

Grow up, be a lady and a woman not a girl
 
Inauma mpenzi natamani nikamroge

Loh ili iweje!!? Kwa kip hasa.....
Hakuna nguvu kubwa inayoishinda maomb na iman.....!!
Amin utamsahau mwombe sana Mungu wako kama unaamin katika yey...
Believe me... you will feel at easy in a second.....
 
Niserebuke nafurahia nini?

Ur too emotional my dia.u deserve better man than that.ni muda tu utakuambia jamaa akupend.na atamkiwa wote unaona anakujar sio kweli hizo ni sex swaga.mwanaume akiwa na anataka sex atamwambia atakichaa anampenda
 
Utoto unakusumbua. There comes a point when a man thinks more about how is going to make that next million than when he is good ng to talk to you.

Simply, mapenzi ya honey umekula nini wanafanya watoto,grown ups talk more about opportunities than mapenzi. Wewe unataka uongee nae kila siku for 4 hours mtaongea nini? Leo ulivaa viatu vyekundu ukakutana na mtu kavaa vyeusi!!!

Grow up, be a lady and a woman not a girl
You are right but mimi sinaga hizo am not into chatting kila saa or talking for hours what kills ni anaeza kaa ma weeks kibao with no mawasiliano na nikijishusha nimtafute mie basi it will take forever kujibu he cant even spare 3 minutes au maybe ni utoto but mi si mtoto
 
Ur too emotional my dia.u deserve better man than that.ni muda tu utakuambia jamaa akupend.na atamkiwa wote unaona anakujar sio kweli hizo ni sex swaga.mwanaume akiwa na anataka sex atamwambia atakichaa anampenda
Sawa bwana asante
 
Loh ili iweje!!? Kwa kip hasa.....
Hakuna nguvu kubwa inayoishinda maomb na iman.....!!
Amin utamsahau mwombe sana Mungu wako kama unaamin katika yey...
Believe me... you will feel at easy in a second.....
I pray alot natumaini siku moja bwana atajibu maombi yangu I pray for him too
 
He is a married man! You are just a mchepuko why do you think you deserve all his attention? Mchepuko bwana!!!!
 
Na wewe ukome kuhangaika na digital. Kamata alietendwa mwenzio kanyaga mwendo! Weeh weka simu silent, afu atokewe na 3rd year anaesubscribe tumeseji twa bure anatext mara 300 kwa siku. Ukitendwa urudi utuambie hapa kuwa hutaki yori yori.


mie na uzee huu nisipopata text za paw walau tano kwa siku na calls kama 3 panachimbika. Mpe raha ntoto wa watu bwana weeh!
Point of correction dada mkubwa King'asti , pole kwanza kwa kazi ya kujenga taifa,wakati wengine tukiwa na mikakati maridhawa ya kulibomoa inawahuuuu?

Back to a topic, kuna tatizo huwa nimeliexperience binafsi ambalo yumkini huyu bi dada ndilo linalomkuta pia, mwezi uliopita kama unakumbuka nilikuja hapa malalamiko ya kuachika na lol pop tulietoka naye hukoooooo kene baridi kali, tukipita milima na mabonde kwa pamoja na kurisk mambo mengi kwa seek ya future lol watoto wa kike ninyi....

Mtoto wa kike subiri miaka yote na huku moja moja tunapiga, heeh maliza chuo na ndoa hapo hapo,,,guess inavyouma! Basi kujiondolea stress mtoto wa kiume nikaamua kukaa kando na kushusha toti za whisky tu kuweka akili sawa...ila kwa kuwa maisha hayatakiwi kusimama nikaja kumtunuku mtoto wa mkufunzi wangu of whom ndo kwanza kako mwaka wa pili chuo....yaani ni shida shida kabisa!

Kila dakika ni ngrrrrr! ngrrrrrr! hadi simu nimeamua kuiweka silent, na ukipigiwa simu hata saa tisa usiku usipo peak ni ugomvi wa siku nne,na once ukimwambie bi dada mimi ni mkomavu kwenye haya mambo siwezi kurudi tena kwenye enzi za yori yori basi ni kilio...."umenidharau" Kwa hiyo unaweza kuona changamoto tulizonazo mabazazi tunaaamua kujichukulia digital baada ya kupigwa chini na zilipendwa wetu....Tuwemo!
 
Last edited by a moderator:
love urself. .If he was meant for you. He will come in time. don't force things. .As u will ever be his option n u'll loose ur confidence. Ushauri wangu for now Love Your self n be expensive
 
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...

Maskini pole sana sex bubble! Ukikua utaona ni kitu cha kawaida !mapenzi ni kama siti ya daladala anapanda anakaa mmoja akishuka anakaa mwingine

Uko kwenye teenage love !yanatesa mno unajiuliza kwani mimi sio mzuri ? Au nina kasoro ?
 
apart from mentality nibadilishe nini tena
Ukibadilisha mentality itakusadia kubadilisha mambo mengi na hata muonekano wako wa nje.. Watu/ mtu atakuchukulia serious.. Sio mtu wa sex tu na kupeleka muda uende
 
Umri wangu ni kati ya miaka 23-29 na yeye ndo alianza japo kua mimi nilianza kumpenda

Okay,
If he proposed without you showing him any sigbs what makes you think that he isnt in love with you no more?

Was his communication any different before and after you two became an item?

Usifurahie sana na kuona watu wanakupenda wanapokushauri uachane naye, kila mtu ana stress zake hapa. But it seems this is the answer you wanted to hear.

It also means unamfahamu vyema na unajua zaidi ya ulivyotuambia ndiyo maana na wewe unaona ni vyema kumpotezea.

Ama kuna kamshikaji kana kutext na calls nyingi masifa mengi all day...unaona huyo ndo mwenye mapenzi ya kweli sio? Think again.

I agree, inakupasa na tena ni haki, kila wakati na kila wasaa kujua position yako kwake but jitahidi kufanya maamuzi hayo mkiwa pamoja. Sio ukishauriwa na jf members.

Every man, woman, relationship is differently n uniquely wired.

***za kuambiwa...***
 
Back
Top Bottom