Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...