Close friends thenM serious ww ndio unaona nakuzingua
Close friends then
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...
And am cute kweli people say it sasa sijui kwa nini yeye halioni hilo

Umri wangu ni kati ya miaka 23-29 na yeye ndo alianza japo kua mimi nilianza kumpenda1. Una umri gani? Au walau tupe age range yako kama hutojali.
2. Aliyeanza kumtamkia mwenzake abt love kati yenu ni nani?
Sio wanaume tu nipande zote na I didn't min am thaaaaaat cute just a comment..wanawake bana...!!! saikolojia ya wanaume ngumu sana, wengi wanasema upo cute kwa sababu zao.. angalia sana mwanaume anayependa kukusifia...
Asante mpendwaPole, ndio makuzi hayo. Kimbia taratibu, he is not in to u kabisa. Mara nyingi mwanamme akiwa a beat older than mwanamke huwa anamtreat kama yai.
Naogopaplease let me bust the sexy bubble !!!!!
Naogopa
habari za jioni wana
mmu,mimi ni msichana am dating a guy who is a little bit older than me. I
have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i
never took it serious until last year ndo akanitambua.problem is he
ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text
zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu
then ana nipotezea.cha kushangaza when we go out he acts like nothing is
wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next
day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka
yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.je
kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana i feel
stupid,ushauri tafadhali. Poleni kwa uzi mrefu...
Asante uniombee kwelipole sana mamii..kiukweli nmekuelewa sana,ushauri wangu huyo jamaa hakupendi na vizuri ukaanza maisha mapya utapata mwenye kujua thamani ya penzi lako..mimi nmepitia hayo kama wewe hata miezi 3 sina lakini nikachukua uamuzi wa kuanza maisha mengine baada ya kugundua hana mapenzi na mimi na hajui thamni nliyompa moyoni.nakuombea upate wa kukupenda sio huyo mzugaji.
Nashindwa kupm na kuzifungua naona notification but nikifungua Kitu blankplease ni pm namba yako mimi sina mtu tutachati mpaka baaaasi
u want to burst itit wont hurt......im mean im not gonna hurt you.
Pole, ndio makuzi hayo. Kimbia taratibu, he is not in to u kabisa. Mara nyingi mwanamme akiwa a beat older than mwanamke huwa anamtreat kama yai.