akuhmm
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 583
- 225
Nalia mara ya mwisho leo kesho a new me
You have to know that u gotta meet a few wrong men b4 the right one arrives. One who will learn to appreciate u
Nalia mara ya mwisho leo kesho a new me
I think am done now really really done thanks to mmu membersThink like a man act like a lady.....for Godsake he is not God.....if he is not tht into u.....ruuuuun,,on to the next one.
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...
I hope he will come begging one day lakini on the other side am weak anaeza akanitafuta nikalegea nilivyo mjinga
Yani hata baada ya hiyo njemba kukuchosha weekend iliyoisha jana bado inakuignore? Au ipo kwa ajili ya kutafuna mzigo wako tu.Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...
Asante I think its time nowYou have got to know when love is over and learn to carry on.
Do not lower your dignity as a woman, over a man who does not reciprocate your love.
Believe me there is always someone better.
Now wipe those tears and call it quits.
You deserve better.
We acha tuYani hata baada ya hiyo njemba kukuchosha weekend iliyoisha jana bado inakuignore? Au ipo kwa ajili ya kutafuna mzigo wako tu.
I Thought he was the right one so sadYou have to know that u gotta meet a few wrong men b4 the right one arrives. One who will learn to appreciate u
I don't think I need mapenzi tenaSexy buble....
Mm nipo nyuma kama fisi nasubiri mkono udondoke...akiachia fursa tu mm nakamatia
Kwenye miti hakuna wajenzi.
Inauma mpenzi natamani nikamrogeMamito hapa unadate mume wa mtu.kama hauko tayari kuwa mke wa pili basi Runaway faster as u can.
I don't think I need mapenzi tena
Mmeniamsha tayariwake up wake up wake up my gal!!
me aloneWot do u nid?
Tunapenda tusipo pendwaHapo hamna mapenzi..kwanini unakuwa na mahusiano na mtu ambaye unaona hana mwelekeo?kaa chini tulia utampa anayekujali kama unavyotaka.
Nimegive up tayariTafuta rafiki wa kiume ambae unajua hawez kuvuka mipaka ktk ulafiki wenu then anza kuwa nae karibu, chat nae, tembea nae and sometimes make sure mpenz wako anakuona, akiuliza we mwambie jamaa ni rafiki yako tu, akizidi kuhoji mwambie huwa unakuwa nae karibu huyo kijana pindi unapo mmiss ili kupunguza upweke! Ukiona hajali na wala haoneshi kuumizwa basi ujue kweli hakuna mapenzi ila kama yapo razima atashindwa kuvumilia and atakuwa yeye ndio anataka utembee nae! Warning-yataka moyo, unaweza mpoteza moja kwa moja
me alone
Nahisi its my enddarling....hivi kesho na keshokutwa ukimfumania utalia wakati ushaona hakupendi???? unaangalia sana mlango uliofungwa na kusahau kuna mingine iko wazi uwiiiii nikusemeshe kimasai?? hizo ni kati ya dalili kuu kwamba hupendwi kama ni mgonjwa wa malaria kashafikia steji ya kutundikiwa drip ya qwinini sasa endelea kungangania alafu siku unafika kwake unakuta ile kanga uliyoiacha last wikiend kwake kajifunga mwenzio