I feel played

I feel played

sexy bubble
ongea na mwenzi wako
mwambie yanayokukwaza
kama kweli anakupenda atayafanyia kazi
hakuna mahusiano yanayoweza kuwa imara bila mawasiliano mazuri
hakuna mahusiano rahisi tu

wanaume wengine huchukulia poa suala la mawasiliano..hii sio sawa..
ni jambo la msingi sana
mwambie unavyojiskia
usiangukie kwa mchukua fursa..utalia tena na tena
 
Last edited by a moderator:
Point of correction dada mkubwa King'asti , pole kwanza kwa kazi ya kujenga taifa,wakati wengine tukiwa na mikakati maridhawa ya kulibomoa inawahuuuu?

Back to a topic, kuna tatizo huwa nimeliexperience binafsi ambalo yumkini huyu bi dada ndilo linalomkuta pia, mwezi uliopita kama unakumbuka nilikuja hapa malalamiko ya kuachika na lol pop tulietoka naye hukoooooo kene baridi kali, tukipita milima na mabonde kwa pamoja na kurisk mambo mengi kwa seek ya future lol watoto wa kike ninyi....

Mtoto wa kike subiri miaka yote na huku moja moja tunapiga, heeh maliza chuo na ndoa hapo hapo,,,guess inavyouma! Basi kujiondolea stress mtoto wa kiume nikaamua kukaa kando na kushusha toti za whisky tu kuweka akili sawa...ila kwa kuwa maisha hayatakiwi kusimama nikaja kumtunuku mtoto wa mkufunzi wangu of whom ndo kwanza kako mwaka wa pili chuo....yaani ni shida shida kabisa!

Kila dakika ni ngrrrrr! ngrrrrrr! hadi simu nimeamua kuiweka silent, na ukipigiwa simu hata saa tisa usiku usipo peak ni ugomvi wa siku nne,na once ukimwambie bi dada mimi ni mkomavu kwenye haya mambo siwezi kurudi tena kwenye enzi za yori yori basi ni kilio...."umenidharau" Kwa hiyo unaweza kuona changamoto tulizonazo mabazazi tunaaamua kujichukulia digital baada ya kupigwa chini na zilipendwa wetu....Tuwemo!

shabaaaaaash!
 
Miaka minne

Basi hapo kuna moja au mawili au yote kati ya haya matatu
1. Hakupendi
2. Ana mwingine
3. Hauna "mvuto"... neno mvuto simaanishi uzuri, namaanisha kwa unajopendekeza kwake sana au unaonyesha saana kumpenda kiasi kwamba haoni kama wewe ni wa muhimu, hakumiss na tena unamboa. Jitahidi kumfanya akumiss. Sijui umenielewa au nikufafanulie zaidi...
 
Inauma mpenzi natamani nikamroge

haaaa sexy bubble......bado mdogo hivi ushawaza ulozi?

Inawezekana pia ndo character yake ilivyo hasa kama ni mtu mzima kidogo ameshaona mengi...kama ungependa mtu wa kukucall na kusms kila wakati inawezekana ila ujue kwamba vyote hivyo vinawezekana na bado akawa ana mwanamke mwingine. Muhimu anakutimizia mahitaji yako ya hali na mali? ushauri wa hapa usiuchukulie tu moja kwa moja ukajikuta umeangukia pabaya zaidi akiliz a kuambiwa changanya na zako.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maelezo yako ya umri my dada it seems your 28,means kwenye umri huo wadada huwa wanpenda serious relationship
kwa ajili ya marriage.now considering what Mentor amesema muda huu sio wakutumia hisia za kitoto katika kufanya maamuzi face your boy mwambia nini unataka na akueleze nini hatma ya mahusiona yenu.Point to note "USIOANE NA MWANAUME AMBAYE WEWE UNAPENDA SANA KULIKO YEYE ANAVYOKUPENDA" utaumia mbele ya safari
 
Fafanua zaidi please
 
Matangazo ya waganga yapo kila kona siku hizo.. nawaza mengi nashindwa kuelewa
 
Last edited by a moderator:
Kwa maelezo yako ya umri my dada it seems your 28,means kwenye umri huo wadada huwa wanpenda serious relationship
kwa ajili ya marriage.now considering what Mentor amesema muda huu sio wakutumia hisia za kitoto katika kufanya maamuzi face your boy mwambia nini unataka na akueleze nini hatma ya mahusiona yenu.Point to note "USIOANE NA MWANAUME AMBAYE WEWE UNAPENDA SANA KULIKO YEYE ANAVYOKUPENDA" utaumia mbele ya safari
Asante umbwe
 
sexy bubble
ongea na mwenzi wako
mwambie yanayokukwaza
kama kweli anakupenda atayafanyia kazi
hakuna mahusiano yanayoweza kuwa imara bila mawasiliano mazuri
hakuna mahusiano rahisi tu

wanaume wengine huchukulia poa suala la mawasiliano..hii sio sawa..
ni jambo la msingi sana
mwambie unavyojiskia
usiangukie kwa mchukua fursa..utalia tena na tena
Asante kwa ushauri ntafanyia kazi ila ndo mbaka anitafute yeye ivyo or else ntabaki solemba
 
Last edited by a moderator:
ndo nakuambia umezidiiii! ila mie boss wangu akipigiwa simu na mkewe tukiwa na meeting anasema kabisa i gotta take this, anaanza heey babe? yes darling? i will do that queen, leaving the office at 4:30, by 5 i will be there! sasa unashindwa nini na wewe kumspoil mtoto wa mwenzio?

kama haumuachi ndo umpe raha sasa usije ukasaidiwa na wale wenye kujirusha. ohooo!
Huyu mwanamke anawaka tu, hajui kwamba wakati mwingine nakua chimbo kwa ajili ya kumwandalia maisha, how come uko ofisini, tena ofisi ya uma unapigiwa simu saa tatu unapokea casually malalamiko yanaanzia hapo hapo....''kwanini unaongea kipolisi" Ukimjibu muda wa kazi, anakata simu kwa hasira na baadae sms za haraka haraka....kwani kazi na mimi bora nini....khaaaa! Nitakabadilisha tu, maana ni mwendo wa ubabe mwanzo mwisho, na simwachi!
 
ndo nakuambia umezidiiii! ila mie boss wangu akipigiwa simu na mkewe tukiwa na meeting anasema kabisa i gotta take this, anaanza heey babe? yes darling? i will do that queen, leaving the office at 4:30, by 5 i will be there! sasa unashindwa nini na wewe kumspoil mtoto wa mwenzio?

kama haumuachi ndo umpe raha sasa usije ukasaidiwa na wale wenye kujirusha. ohooo!

Asante sana mkuu...ngoja nilifanyie kazi! Wakati mwingine nadhani kuna namna wanaume tunawatreat wenzi wetu kwa namna ambayo sisi hatupendi kuwa treated!
 
Iyo ni character moja nzuri sana...tatizo la nyie wasichana wengi mnataka watu wa kukaa nao siku nzima tu kupiga soga zisizo na maana...sa kama akiongea na wew hamna cha maana unachomuambia..kila saa i miss yu tuuu...kwanini asiwe busy na mambo mengine ya maisha..???
 
Sio kiivyo
 
Pole sana dada. Yanayokusibu hayana tofauti na ya kwangu. Tofauti iliyopo ni kwamba wewe ni mwanamke mimi ni mwanaume. Inauma sana!
 
You have got to know when love is over and learn to carry on.

Do not lower your dignity as a woman, over a man who does not reciprocate your love.

Believe me there is always someone better.

Now wipe those tears and call it quits.

You deserve better.

Ushauri wako mzuri sana Karucee.. sexy bubble fuata ushauri huu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom