I feel played

I feel played

Then move one, if someone loves they will miss you, at least once in every two days they would want to know how you are doing.
You are in love, he only sees a company in you when in need.
That's touchy
 
exactly yes n i agree wit u % percent kuna mtu alitaka kunipanda kichwani kama huyo dada at first it was difficult 4 me thx God jf huwa inaniencourage zaid ya sana ikawa no call no sms mpaka anashangaa nkachapa lapa taratiiibu khaa u cant believe I MADE IT!
I hope ntaweza
 
Find someone who can real love you!
 
Hivi huwa mnashindwa kuandika kiswahili au haya ni maradhi mapya?

Kama unadhani kiswahili ambacho ulikitumia muda tu uliotoka tumboni mwa mama yako hadi leo unakitumia na pengine hata ukiwa chooni unakitumia si bora tu uandike hiyo lugha ambayo umejifuza kwa mwaka mmoja tu?
Asante
 
Habari za jioni wana MMU,mimi ni msichana am dating a Guy who is a little bit older than me. I have been loving this guy toka enzi hizo when i was still katoto but i never took it serious until last year ndo akanitambua.Problem is he ignores me sana sasa nashindwa kumuelewa he never calls me,hareply text zangu ni mara chache sana na hata akinitxt yeye basi tutachat kidogo tu then ana nipotezea.Cha kushangaza when we go out he acts like nothing is wrong and nakua nahisi am loved kweli lakini tukiachana hapo the next day majonzi moyoni. Wana jamvi nashindwa kuelewa je ana mashetani mbaka yanikumbuke, am i being a little girl or is it just his character.Je kuna mapenzi hapo au ana cheza na mimi. Some times nalia sana I feel stupid,ushauri tafadhali. POLENI KWA UZI MREFU...
Jina lako linaonesha ww ndo una tatizo.. Labda imejiweka km sex bubble.. Sijakuona wala sikujui lkn nahisi kuna vitu inabidi ubadilishe..hata mentality yako hasa inaonekana kwenye jina.
 
Kweli your a little girl

Unatumika tu


Hakupendiii

Sepa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Point of correction dada mkubwa King'asti , pole kwanza kwa kazi ya kujenga taifa,wakati wengine tukiwa na mikakati maridhawa ya kulibomoa inawahuuuu?

Back to a topic, kuna tatizo huwa nimeliexperience binafsi ambalo yumkini huyu bi dada ndilo linalomkuta pia, mwezi uliopita kama unakumbuka nilikuja hapa malalamiko ya kuachika na lol pop tulietoka naye hukoooooo kene baridi kali, tukipita milima na mabonde kwa pamoja na kurisk mambo mengi kwa seek ya future lol watoto wa kike ninyi....

Mtoto wa kike subiri miaka yote na huku moja moja tunapiga, heeh maliza chuo na ndoa hapo hapo,,,guess inavyouma! Basi kujiondolea stress mtoto wa kiume nikaamua kukaa kando na kushusha toti za whisky tu kuweka akili sawa...ila kwa kuwa maisha hayatakiwi kusimama nikaja kumtunuku mtoto wa mkufunzi wangu of whom ndo kwanza kako mwaka wa pili chuo....yaani ni shida shida kabisa!

Kila dakika ni ngrrrrr! ngrrrrrr! hadi simu nimeamua kuiweka silent, na ukipigiwa simu hata saa tisa usiku usipo peak ni ugomvi wa siku nne,na once ukimwambie bi dada mimi ni mkomavu kwenye haya mambo siwezi kurudi tena kwenye enzi za yori yori basi ni kilio...."umenidharau" Kwa hiyo unaweza kuona changamoto tulizonazo mabazazi tunaaamua kujichukulia digital baada ya kupigwa chini na zilipendwa wetu....Tuwemo!
Simpigiagi hovyo yani namuchaga aenjoy mda wake mi si msumbufu just once in a while
 
Last edited by a moderator:
Jina lako linaonesha ww ndo una tatizo.. Labda imejiweka km sex bubble.. Sijakuona wala sikujui lkn nahisi kuna vitu inabidi ubadilishe..hata mentality yako hasa inaonekana kwenye jina.
apart from mentality nibadilishe nini tena
 
Back
Top Bottom