Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
deo
mi si katoto kiasi hicho
I did not mean kuwa uko katoto ki hivyo! we mbona mkubwa ndo mana upo sexy!
deo
mi si katoto kiasi hicho
Nashindwa kumsahau nikilala namuwaza yeye nikiamka yeye
kuna siku nilimwambia mbaka nikalia mbele yake he looked touched kidogo lakini up to now i don't see any changesJust tell him wat u feel and wat u want him to do for you so dat u can feel loved
darling....hivi kesho na keshokutwa ukimfumania utalia wakati ushaona hakupendi???? unaangalia sana mlango uliofungwa na kusahau kuna mingine iko wazi uwiiiii nikusemeshe kimasai?? hizo ni kati ya dalili kuu kwamba hupendwi kama ni mgonjwa wa malaria kashafikia steji ya kutundikiwa drip ya qwinini sasa endelea kungangania alafu siku unafika kwake unakuta ile kanga uliyoiacha last wikiend kwake kajifunga mwenzio
And am cute kweli people say it sasa sijui kwa nini yeye halioni hiloI did not mean kuwa uko katoto ki hivyo! we mbona mkubwa ndo mana upo sexy!
Then move one, if someone loves they will miss you, at least once in every two days they would want to know how you are doing.kuna siku nilimwambia mbaka nikalia mbele yake he looked touched kidogo lakini up to now i don't see any changes
machozi yanataka kutoka can i really do itUsed to feel the same abt this guy. Ila nlipojipa moyo kwamba i can do it.. ..... I did it and told him game over. I thought he was everything but now nimegundua life is simpler without him. Imagine a guy who controls u like he is a boss of some kind wakati unajitegemea kila kitu
machozi yanataka kutoka can i really do it
Asante bwanaPole sexy bubble
You can do it baby gal. Mwanzo utaona kama vigumu ila utazoea na kuona kawaida. Dnt make him feel like he is ur world and without him ur life is nothing. Nawaelewa wanaume ukiwapenda sana wanadhani wengine wote vifusi wapo wao tu. MOVE ON. Im not saying its easy...im just saying its possible[/Q
I hope he will come begging one day lakini on the other side am weak anaeza akanitafuta nikalegea nilivyo mjingaYou can do it baby gal. Mwanzo utaona kama vigumu ila utazoea na kuona kawaida. Dnt make him feel like he is ur world and without him ur life is nothing. Nawaelewa wanaume ukiwapenda sana wanadhani wengine wote vifusi wapo wao tu. MOVE ON. Im not saying its easy...im just saying its possible
I hope he will come begging one day lakini on the other side am weak anaeza akanitafuta nikalegea nilivyo mjinga
Yani sijui kaniloga sioni mwanaume mwingine mwenzenuJaman uuupsssiiiiii
Jitambue mdogo wangu huyo ana nn??? Hicho unachofikir ni kizuri kwake kuna waliomzidi....
Mapenz sio ya king'ang'ania songa mbele yupo atakayekupenda the way u ar.
Sion haja ya wewe kulalamika.
Tambua thaman yako
Nalia mara ya mwisho leo kesho a new meU wouldn't know how strong u r unless u try