I don’t wanna marry him, what should I do?

Akifanya hivyo ndio hataumia? Halafu acha kumtisha binti wa watu
Hatishwi huo ndio ukweli 😄😄😄 wanawake selective wana tabu sana, ukute mashosti washamnanga jamaa yake..So anataka aridhishe bunge ila dhambi ya kumpotezea mtu muda na kumuumiza kihisia itamtafuna.
 
Kwani mtoa mada amechagua chagua mara ngapi?
Hizo ni tabia za kike tunazijua na symptom moja wapo ni hio ya kubreak up for stupid reasons. Na hali ya kukosa msimamo, ukipata HB utaona anakuboa maana ni Mario hajui kutafta hela unaacha, ukipata mchapakazi utaona hana sura nzuri na mfupi unaacha, Ukipata mrefu utaona hajui kuvaa na yupo rough sana, Ukipata aliepo smart na mrefu kumbato vizuri hawezi kama yule mfupi unaacha.

Cycle inaendelea hivyo mpaka 35 and ticking!😆😆😆 unaona mbeba zege ni kama ChrisBrown tu wacha anioe tu.

Hapa ndipo naona faida ya watoto walioolewa bikra enzi za mama zetu na kwanini wazee walifanikiwa kuozesha watoto kwa amri. Maana zama hizi kuozesha kwa amri mzee unaeza ukafa kabla ya miaka yako mbona ndo maana wameachana na hio habari. Maana binti mpaka kutoboa 20 ameshafunuliwa na raia kama 10 hivi kila mashine anajua.
 
Ndio aviseme hata kama ni vidogo kiasi gani, vitakuwa fundamental ya fair judgement. Maana mpaka sasa ametuacha hewani tutashauri kwa assumptions tu.

Na nikwambie kitu mpenzi, hutakaa upate mtu perfect. Kama huna uvumilivu wa mambo madogo utaendelea kuchakazwa chupini huku ukibadili mabwana kwa mawazo kuwa utampata wa sifa zote utakazo, na mungu aliweka hilo makusudi ili kila mtu asikose mwenza.
 
kabisaaaaa
 
Chupi yangu navua wakati wa kukojoa tu [emoji3][emoji3] tuachane na hilo, hakuna mtu perfect kwa asilimia mia moja ila kila mtu ana vitu vya kuvumilia. Kuna vitu vingine vinaweza kufanya umchukie mtu hata kama ulikuwa unampenda, na vitu ninavyoweza kuvumilia mimi yawezekana Atoto asiweze, na vitu vinavyoniturn off mimi nikimwambia Edelyn anaweza kuniona sina akili sawa sawa. Binadamu tumeumbwa tofauti kila mtu ana kasoro zake, sihitaji mtu perfect nahitaji mtu ambaye ninaweza kumchukulia na yeye hivyo hivyo akanichukulia
 
kweli bahati haiji mara mbili..
 
Basi hujakosea kabisa na upo sehemu salama maana mtu huyo ni mimi😂

You are good then ila kuna mambo ni ya kijinga sana. Nahisi ndio maana mtoa mada kashindwa kuyasema na hakuna kitu kibaya kama unafiki. Jitahidi kusema yote usiyoyapenda mwanzoni mwa uhusiano ili mrekebishane mapema. Impact huwa ndogo sana hata mkishindwana.
 
Najua niko sehemu sahihi ndio maana sing'oki hata kwa winchi[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Waliobaki mashetani?
Nyie wote ni malaika?
 
Hahaha sio kwamba hatuna jema. .ila imeni-staajabisha kwa-kweli ..kama mleta mada anaijua misimamo yako then ameona kabisa comment yako uki-mshangaa''

Basi ya mpasa hiyo iwe ni Alarm ya kumfanya aanze kujichunguza upya '.... she's not okay aise
Ukichunguza maoni ya bibie edelyn anaonekana kutuchukia Sana sjui tumemkosea nini sisi jinsia ya kiume
 
Nimetamani kumuacha kwa muda sasa ila nashindwa namna ya kumuacha.
Mkataa pema pabaya panamuita. Cha kwanza wanawake ni wengi na wanaume ni wachache. Ukimuacha ataumia lakini atapata mwingine. Shida itakuwa kwako. Kwa taarifa wanaume wa sasa wengi si waoaji material, utamuacha akupendae utakwenda kumpata anayetaka papuchi na hata tigo na matokeo yake utaishi kwa kujuta kwa nini ulifanya kosa ili kubwa. Kaa chini muombe Mungu wako aweze kuondoa roho chafu moyoni. Yaani una bahati ila naona unataka kucheze shilingi kwenye shimo la choo
 
You don wanna marry him while you already cohabit with him matrimonially and the dude plays all the husband's roles that you've been enjoying for two good years! Now you are here seeking for the validation of your devilish decision of dumping a poor guy whom you claim you have never been in love with despite all his good deeds to you.

Girl, as you say you never loved him(of course it's true) you actually spent your time with him b'se of his commitment and subservient actions to you. Now there is huge possibility that guy is in tough financial situation whereby your selfish ass tells you to leave coz the pool of milk is about to go dry.

Kama kweli ulikuwa humpendi kwanini usingemwambia tangu mapema kabla hajaji commit kwako kiasi hicho? yaani umesubiria aishiwe ndio unajifanya humtaki? wanawake kama wewe ndio mnaofanya wanaume wawe heartbreaker kwenye mahusiano.

Once you dump that poor nigga dont expect him to be the same! i cant imagine the amount of venom your fellow woman next to date that guy will face.

Halafu nyie wanawake wa siku hizi mna vihere vihere sana, aliyekwambia kwamba kwenye ndoa mwanamke ndio anapenda kwanza sijui nani..!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…