fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,758
Hebu toa hiyo Avatar, mi naogopa

aaah inakutisha na nn kabla sjaitoa inabd inambie kama ni miwan ntaivua yess BiShoo haswaaAaa
Hebu toa hiyo Avatar, mi naogopa

aaah inakutisha na nn kabla sjaitoa inabd inambie kama ni miwan ntaivua Bishoo gani ana lipua kama hiloaaah inakutisha na nn kabla sjaitoa inabd inambie kama ni miwan ntaivua
yess BiShoo haswaaAaa
Na plan B ikafail unaenda wapi?!
Aaaah hilo ndo lenyewe Demi yaan hilo pua ndo swagga zenyewe kama mondi alivokua na domoBishoo gani ana lipua kama hilo
Kuna shida mkuuNa plan B ikafail unaenda wapi?!
sawa, i hope hiyo excuse itakupa msamaha uione pepo if not, its not worth itWakuu lengo sio kuhalalisha dhambi. Inafikia moment moyo wako unakua daraja la kupitia watu we upo tu na kama unavyoelewa maumivu ya mapenzi yalivyo ndio maana nikasema ni heri kua na ka contingency plan pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu so unanishauri nini ewe mkuu mwema?sawa, i hope hiyo excuse itakupa msamaha uione pepo if not, its not worth it
wewe ni mtu mzima unajua jema na baya, sema na nafsi yako
I dated her 4 years + , with no side chick , we part last two months , I can't have side chicks(plan B) once I'm into one its enough.... And now it will take two years or plus To date another(to love someone again)





Waambie hao...wanafarijiana ujinga.FINANCIALLY MADEMU NI LIABILITY KUBWA SANA KWA KIJANA!
Kua na madem wengi kwa wakati mmoja sio ujanja wala urijali kwangu.nadate na mmoja tu,tukiachana si basi natafuta mwingine kwani wanawake wameisha au wanapatikana kwa manati!?
Kwanini usimuache ukatafuta mwingine??Wakuu lengo sio kuhalalisha dhambi. Inafikia moment moyo wako unakua daraja la kupitia watu we upo tu na kama unavyoelewa maumivu ya mapenzi yalivyo ndio maana nikasema ni heri kua na ka contingency plan pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana ni mwanamke mwenye Pending list ya jamaa zaidi ya 100 😂😂😂😂😂
Ndio mkuu, wanna join?Unaonekana ni mwanamke mwenye Pending list ya jamaa zaidi ya 100![]()
Shiiiyt imma join that crew but only for booty calls bebe! No way im gonna be parting on that Friendzone bullshit!
Contigency Plan hadi kwenye mahusiano sasa 🤣🤣🤣 isiishie bisharani tu.Wakuu lengo sio kuhalalisha dhambi. Inafikia moment moyo wako unakua daraja la kupitia watu we upo tu na kama unavyoelewa maumivu ya mapenzi yalivyo ndio maana nikasema ni heri kua na ka contingency plan pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Contigency Plan hadi kwenye mahusiano sasaisiishie bisharani tu.



Kwa kawaida mwanaume wa maana akijitahidi sana yaani yule ambae ni muaminifu kabisa na ana heshima zote, basi atakua na wanawake angalau watatu hivi. Anaweza kuwa anakula mmoja, ila hao wawili wako stand by mda wowote akiwahitaji anajua atawala.
Kwa upande wa mwanamke, kama ni mzuri wa sura na ana chura, basi at any time T ana wanaume zaidi ya 100 ambao wako stand by na wanamsumbua wakitaka kuwa nae. Katika hao, kuna wanaokula kimasihara, kuna wanaokula kawaida, kuna wahongaji, kuna wanaojidai washkaji ila nia yao nao ni kula, na kuna mazuzu wapo wapo tuu hawajielewi kazi yao ni kutuma tuma meseji za usumbufu.
Haya mambo bana...yaacheni tu kama yalivyo.
Kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwenye ndoa na kila mara wanachepuka.
Cha ajabu, ni wamejiaminisha kabisa kuwa wakifanyacho si kosa.
Yaani wamejishawishi wenyewe kuwa wanachofanya si kuchepuka.
Halafu hapo hapo, kila Jumapili hawakosi kwenda kusali [kwa wale waumini wa Kristu].
Wanajiona waadilifu sana.
Na mara zote, wenye makosa na utovu wa uadilifu huwa ni wengine.
Hapo kwa watu wahalisia kama mimi, ndo tunasema kuwa ‘uaminifu’ wa mtu ni siri yake moyoni mwake tu.
Nje ya hapo, ni usanii kwa kwenda mbele, nyuma, na hata pembeni.
Nawapa pole mliopo kwenye ndoa![]()