Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,222
Haya mambo bana...yaacheni tu kama yalivyo.
Kuna wanawake na wanaume ambao wapo kwenye ndoa na kila mara wanachepuka.
Cha ajabu, ni wamejiaminisha kabisa kuwa wakifanyacho si kosa.
Yaani wamejishawishi wenyewe kuwa wanachofanya si kuchepuka.
Halafu hapo hapo, kila Jumapili hawakosi kwenda kusali [kwa wale waumini wa Kristu].
Wanajiona waadilifu sana.
Na mara zote, wenye makosa na utovu wa uadilifu huwa ni wengine.
Hapo kwa watu wahalisia kama mimi, ndo tunasema kuwa ‘uaminifu’ wa mtu ni siri yake moyoni mwake tu.
Nje ya hapo, ni usanii kwa kwenda mbele, nyuma, na hata pembeni.
Nawapa pole mliopo kwenye ndoa![]()
Ni kweli ndo maana siku hizi wengi hawalii tena au kujinyonga.. Plan B ni msaada mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliwahi kusema humu jamvini kwamba hakuna kitu kinachoimarisha ndoa kama michepuko..! Watu hawakunielewa.
plan b2.Na plan B ikafail unaenda wapi?!
Hio inaitwa kwa wakati wa raha tu; shida za kwako mwenyewe!!Anayefanywa plan B huwa mara nyingi anajua. Ukianza kumfanya plan A, anaishia zake. Hataki stress!
Wakati unafanya hizo plan ukumbuke kuna Mungu, na cheating is a SIN na duniani tunapita tu na kifuatacho ni hukumu. Tusiishe as if kesho yetu tunaijuaSalaam wakuu,
Straight to the point. Asilimia kubwa tumeshawahi kuumizwa katika maswala ya relationships, haijalishi jinsia ke au me. Unajikuta umejitoa kimasomaso kwaajili ya MTU ukiamini ndiye the right person for you lakini he/she ends up hurting your feelings.
Nimefanya tafiti yangu isiyo rasmi nimegundua kwamba katika mahusiano shurti uwe na plan B (wanasemaga kidumu). Hii inasaidia incase plan A fails, unahamishia nguvu zako kwenye palm B. Hii hulka nimegundua wenzetu jinsia ke wanayo sana (samahanini jamani) unakuta mwingine ana mpaka plan G. Imagine umetokea kumpenda MTU kwa moyo wako wote then mpaka ndugu umewataarifu kua umempata MTU sahihi and then anakuja kukengeuka ghafla na kuku-dump. It really hurts a lot lakini at least ukiwa na ka plan b kako you won't endup a total loser.
On the record, sichochei watu wacheat kwenye mahusiano yao but according to my personal view Naona ni vyema kua na backup plan.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati unafanya hizo plan ukumbuke kuna Mungu, na cheating is a SIN na duniani tunapita tu na kifuatacho ni hukumu. Tusiishe as if kesho yetu tunaijua
binadamu tunapenda kuhalalisha dhambi........shetani hana kazi tena....zaidi ya kuvunja madaraja,,,, amehakikisha manager wa tanroad kasimamishwa kazi yeye roho yake kwatuuu....
Inasaidia sana zaidi uweze kuucontrol na kuufanya privacy. Hakika n shule nyingineMimi niliwahi kusema humu jamvini kwamba hakuna kitu kinachoimarisha ndoa kama michepuko..! Watu hawakunielewa.
Whuan china
Hebu toa hiyo Avatar, mi naogopaWhuan china
yess BiShoo haswaaAaa