I am very proud to be who i am

I am very proud to be who i am

Kumbe we mzee? Nlifikiri naongea na kabinti kabikira..... sasa mbona hulali? Au pale hawakukupa kakilaji ka kutosha?
Haa basi ndio ujue kuanzia sasa . Kilaji gani tena mbona msamiati huu siufahamu
 
Basi uzee unaniingia vibaya. Haya hata kusoma sielewi lol kumbe Nameless ubini wake ni Ablessed ! That is interesting.

mbona mwanibatiza? naona mmoja kajipa cheo cha uchungaji, mwingine mama wa ubatizo.
 
mbona mwanibatiza? naona mmoja kajipa cheo cha uchungaji, mwingine mama wa ubatizo.
Hahahaa usijali mdogo wangu huyo ndio Asprin kwa kubatiza watu tu hajambo. Muulize vizuri kibali cha kukubatiza alipewa lini , wapi na nani .
 
Last edited by a moderator:
Haya jamani pigianeni hizo cm lkn msisahau kusali
Unajichanganya ujue... nlikuwa nimekuquote wewe Ablessed kuwa nikupigie. Vipi umejibu bila kucheki eh? Ahahahahahahaha! Pole usiku mwema mama LOL
 
Unajichanganya ujue... nlikuwa nimekuquote wewe Ablessed kuwa nikupigie. Vipi umejibu bila kucheki eh? Ahahahahahahaha! Pole usiku mwema mama LOL
Nilijua umechanganya habari kama mimi nilivyojichanganya mwanzo. Si nilisha sema sina simu naogopa mionzi . Sisi wazee kutumia cm mwikoooooo . Haya kalale mdogo wangu.
 
Najua siko perfect lakini najivunia kua mimi. Najipenda hivi nilivyo. Najivunia kuzaliwa mwanamke. Namshukuru mungu kwa kuniumba mimi. Hakuna hawezaye kuwa mimi.
Kuna watu wanajichukia walivyoumbwa, walipenda kua kama fulani, waishi maisha kama fulani, wanapenda kua na lifestyle kama ya fulani na hasa wanawake ingawa na wanaume pia wanahusika.
Kupenda kua kama fulani, its lyk you bury your own dignity na kuutukuza utu wa fulani. Ukimtukuza fulani ni sawa na kua nobody and a useless person in the world. Huyo fulani unaemtamani, alijikubali kwanza thats why ukamkubali pia.
Tunapaswa kujikubali ivi tulivyo. Kila mtu ameumbwa kwa mfano wa mungu na ivo tunapaswa kukubali vile tulivoumbwa na si kukazana kujitoa kasoro, mara miguu myembamba sana, mara weusi umezidi ngoja nijaribu mkorogo, mara shepu hamna nikatafute sindano, lol, hii sio kabisa.
Kila mmoja ameumbwa kwa makusudi yake ivo inapaswa tukubaliane na kuridhika na hali za maisha tulizonazo yasije yakatufika makubwa huko kwa pilato kisa tamaa ya pesa.
We need to be proud of ourselves very much, tutamfurahisha muumba daima. Be happy always no matter what. Jikubali.

Are you proud to be who you are?

yes iam,kama kweli upo ivo hongera am impressed
 
Mpwa naona ulikua unazeveza tu wajukuu...teh teh!!

Unajichanganya ujue... nlikuwa nimekuquote wewe Ablessed kuwa nikupigie. Vipi umejibu bila kucheki eh? Ahahahahahahaha! Pole usiku mwema mama LOL
 
mh tone inaonyesha una kabitterness fulani jinsi ulivyo. hebu sema kwanza kama mwanamke wamekukosoa kitu gani vile ulivyo?
 
Namshukuru Mungu mimi mzima wa afya , hofu na mashaka ni juu yao walio mbali na upeo wa macho yangu.
 
Aaaah wewe si upo humu nshakuona jamani. Namaanisha bibi yangu kijijini ambako hata mtandao hakuna ni mpaka niende

Sasa atajuaje umemkumbuka? . . . . .Ulishaona futari ya mlenda?
 
Back
Top Bottom