I am very proud to be who i am

I am very proud to be who i am

Ndo mlivyo binadamu,
vigeugeu kama nini!

Kila siku nyie nyie ndo mnawapigia kelele watu ooh kina dada/kaka kuweni hivi/vile.
Mara acheni mkorogo jikubalini mlivyo . . . na blah blah kibao.
Leo kachitokeza mtu kiroho safi kaandika ujumbe wa maana which can be an emphasis kwa yale mnayoyaongea.
Badala ya kujadili kilichoandikwa, mnamjadili mwandikaji . . . . inahusu nini sasa?

Sasa akijiamini au asijiamini . . . . ndo anaruhusiwa/anakatazwa kuandika?

BTW; Ebu tupe mfano wa maneno yako wewe ili tuone wanaojiamini wakoje?

kila kitu kiko wazi sijui unataka mfano gani tena.
 
Kupenda kua kama fulani, its lyk you bury your own dignity na kuutukuza utu wa fulani. Ukimtukuza fulani ni sawa na kua nobody and a useless person in the world. Huyo fulani unaemtamani, alijikubali kwanza thats why ukamkubali pia.

hayo uliyoandika hayajawahi kukatiza akilini mwangu hata siku moja ,sasa sijui ni kwasababu ya kujiamini sana.

ila hapo juu nilipokuquote sikubaliani na wewe , , , , ,unataka kuniambia hatuwezi kuwa na mfano wa mtu wa kumuiga kwenye maisha yetu? what about our role models in our lives?

yaani mimi kutamani kuwa jasiri kama baba yangu basi itakuwa nijidhalilisha na kupoteza utu?

tunayatamani maendeleo ndiyo maana tunaweka malengo na kuyatimiza hayo malengo.
 
kumuhusudu mtu na kuwa mfano wa mtu FOR YOUR OWN BENEFITS, ni vitu viwili tofauti, ninachomaanisha hapa ni kupenda kua wewe, sio kujichukia na kutamani mungu angekuumba kuwa mtu fulani, hujawai ona/sikia mtu akisema, l wish ningekua fulani au ningezaliwa taifa fulani, upo?
 
kidhungu kigumu thana,najikubali nilivyo kwa asilimia 98.5345777779
we thi unaenda kwenye interview kesho au mtatumia kiswahili, uchanganye na kimasai au ndo utabeba dictionary? kila muda "wait Sir" unafunua dictionary, best ucje jing'ata ulimi bure.
 
nitabaki shambani kwenye kilimo cha mtama maana interview ni majanga.
 
kumuhusudu mtu na kuwa mfano wa mtu FOR YOUR OWN BENEFITS, ni vitu viwili tofauti, ninachomaanisha hapa ni kupenda kua wewe, sio kujichukia na kutamani mungu angekuumba kuwa mtu fulani, hujawai ona/sikia mtu akisema, l wish ningekua fulani au ningezaliwa taifa fulani, upo?

mifano yako mingine inachanganya sana , kwa mfano hapo kwenye nyekundu ndiyo kutojikubali?

i wish Rais wangu angekuwa Dr. Slaa...... vipi , hapo pia sijajiamini?
 
Hivi wewe umelitoa wapi hili? Wengine hata huwa hatujijudge tulivyo. Inawezekena ni upungufu wa kujiamini ndiyo maana unaandika vitu kama hivi. Ok go on beeing proud to be who u re.
 
no, sio ivo, ninachomaanisha mimi ni kutojikubali wewe kama wewe, kuwish rais fulani angekuongoza ni ishu nyingine my dear, mfano mimi hapa nitamani kuwa kama wewe, sijipendi nilivyo na pia sipendi maisha yangu jinsi yalivyo, najaribu kuachana na uhalisia wangu nafata wako ili niwe kama wewe, sipendi maisha ambayo mungu amenipa na sijipendi nilivyoumbwa but napenda jinsi asakuta same alivo, then l try my best kuchange kutoka kwenye nameless girl kuwa asakuta same. Bado ujaelewa?
 
Hivi wewe umelitoa wapi hili? Wengine hata huwa hatujijudge tulivyo. Inawezekena ni upungufu wa kujiamini ndiyo maana unaandika vitu kama hivi. Ok go on beeing proud to be who u re.
IQ zinazidiana.
 
Back
Top Bottom