nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,690
Najua siko perfect lakini najivunia kua mimi. Najipenda hivi nilivyo. Najivunia kuzaliwa mwanamke. Namshukuru mungu kwa kuniumba mimi. Hakuna hawezaye kuwa mimi.
Kuna watu wanajichukia walivyoumbwa, walipenda kua kama fulani, waishi maisha kama fulani, wanapenda kua na lifestyle kama ya fulani na hasa wanawake ingawa na wanaume pia wanahusika.
Kupenda kua kama fulani, its lyk you bury your own dignity na kuutukuza utu wa fulani. Ukimtukuza fulani ni sawa na kua nobody and a useless person in the world. Huyo fulani unaemtamani, alijikubali kwanza thats why ukamkubali pia.
Tunapaswa kujikubali ivi tulivyo. Kila mtu ameumbwa kwa mfano wa mungu na ivo tunapaswa kukubali vile tulivoumbwa na si kukazana kujitoa kasoro, mara miguu myembamba sana, mara weusi umezidi ngoja nijaribu mkorogo, mara shepu hamna nikatafute sindano, lol, hii sio kabisa.
Kila mmoja ameumbwa kwa makusudi yake ivo inapaswa tukubaliane na kuridhika na hali za maisha tulizonazo yasije yakatufika makubwa huko kwa pilato kisa tamaa ya pesa.
We need to be proud of ourselves very much, tutamfurahisha muumba daima. Be happy always no matter what. Jikubali.
Are you proud to be who you are?