I am very proud to be who i am

I am very proud to be who i am

Nilimaanisha nchi za nje ambako tunatofautiana masaa kiasi kwamba huku tunapolala kule wanaaamka/wanakaribia kuamka.
BTW, ni utani tu!

Ngoja nitarudi badaye kujibu.
Hahahaha nimekupata mkuu, nimeupenda utani wako. Ok tuendelee na mada
 
poor analysis caused by poor interpretation is another weakness you possess, ndio maana unaanzisha mada za uoga, trust yourself
nina shawishika kwa 98% kuamini kwamba you buried your own dignity kutokana na maneno yako. Ukidhani wewe ni binadamu ambaye huko kamili kila sector, utakua na itilaf kidogo maeneo ya medula oblangata (am sorry).
 
poor analysis caused by poor interpretation is another weakness you possess, ndio maana unaanzisha mada za uoga, trust yourself

l do trust myself thats y nina uwezo wa kuexpress kilicho ndani ya moyo wangu. Mbona hata haka kapost kanakukeleketa sana moyoni? whats wrong wit u? Seriously, u a gud but hujitambui hata kidogo. U need :help::help::help::help::help::help::help:
 
Yeah.... Am proud to be me. A man. A Real man.

Haya jibu swali la huyu mtakatifu hapa chini....
Hivi swali la namna hii na sisi wazee linatuhusu jamani khaaaaa. Hawa watoto wanashangaza ndo nini kuulizana maswali ya aina hii.
 
Najua siko perfect lakini najivunia kua mimi. Najipenda hivi nilivyo. Najivunia kuzaliwa mwanamke. Namshukuru mungu kwa kuniumba mimi. Hakuna hawezaye kuwa mimi.
Kuna watu wanajichukia walivyoumbwa, walipenda kua kama fulani, waishi maisha kama fulani, wanapenda kua na lifestyle kama ya fulani na hasa wanawake ingawa na wanaume pia wanahusika.
Kupenda kua kama fulani, its lyk you bury your own dignity na kuutukuza utu wa fulani. Ukimtukuza fulani ni sawa na kua nobody and a useless person in the world. Huyo fulani unaemtamani, alijikubali kwanza thats why ukamkubali pia.
Tunapaswa kujikubali ivi tulivyo. Kila mtu ameumbwa kwa mfano wa mungu na ivo tunapaswa kukubali vile tulivoumbwa na si kukazana kujitoa kasoro, mara miguu myembamba sana, mara weusi umezidi ngoja nijaribu mkorogo, mara shepu hamna nikatafute sindano, lol, hii sio kabisa.
Kila mmoja ameumbwa kwa makusudi yake ivo inapaswa tukubaliane na kuridhika na hali za maisha tulizonazo yasije yakatufika makubwa huko kwa pilato kisa tamaa ya pesa.
We need to be proud of ourselves very much, tutamfurahisha muumba daima. Be happy always no matter what. Jikubali.

Are you proud to be who you are?

Kama kweli we ako proud of who you real are.... tell me your name. Ofcourse kwa PM, uambatanishe na namba yako ya simu.

Otherwise sidanganyikiiiii!!
 
Hivi swali la namna hii na sisi wazee linatuhusu jamani khaaaaa. Hawa watoto wanashangaza ndo nini kuulizana maswali ya aina hii.
Hilo ndilo jibu siyo?? Mama Thereza amekufa hajawahi zaa..... unajua??
 
Kama kweli we ako proud of who you real are.... tell me your name. Ofcourse kwa PM, uambatanishe na namba yako ya simu.

Otherwise sidanganyikiiiii!!
kwanini tuyafanyie hayo ya namba chini ya uvungu wa meza wakati mada ipo mezani? toa namba l will col u, imwage mezani pls. (hop u understand wat l mean by syng mezani)
 
Hahahaha mimi huwa sina cm na jina ninalotumia ni jina langu halisi kwani wewe lako sio halisi . Kama si halisi haya anza kujitambulisha lol kwanini mnatumia majina ambayo si halisi jamani yaani mnatuharibia nchi yetu kila kitu fake why?????????Even your real name unaficha.
Mie naitwa Samson Richard Mabilu.... twende kazi.
 
Mie naitwa Samson Richard Mabilu.... twende kazi.
Nilichanganya rafiki halikua swali langu unajua huku natype kwa kujificha ili boss asinione kwenye ichi kimuli muli changu lol.
 
Nilichanganya rafiki halikua swali langu unajua huku natype kwa kujificha ili boss asinione kwenye ichi kimuli muli changu lol.
Hahahaha nshakuelewa nameless Ablessed LOL
 
Basi uzee unaniingia vibaya. Haya hata kusoma sielewi lol kumbe Nameless ubini wake ni Ablessed ! That is interesting.
Kumbe we mzee? Nlifikiri naongea na kabinti kabikira..... sasa mbona hulali? Au pale hawakukupa kakilaji ka kutosha?
 
Back
Top Bottom