Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Yes , I am proud of myself .............Because there is no one like Ablessed ...............
Nawe ni wa Sydney kama Fixed Point?
Last edited by a moderator:
Yes , I am proud of myself .............Because there is no one like Ablessed ...............
hivi pacha kwa unavyoniona naweza nisiwe proud of myself kweli!
by any angle.......!
no ways
we kipipi sasa umeshaanza kuzeeka....Jina lako limenikumbusha dada mmoja anaitwa Digna.
Nilikuwaga namuona enzi zile nikiwa mdau wa MMU.
I wonder where she is!!!
Sydney???! ni wapi huko tena mkuu . Mambo vipi hebu jibu swali la mdau.Nawe ni wa Sydney kama Fixed Point?
we kipipi sasa umeshaanza kuzeeka....
FP na Digna wapi na wapi?
Sydney???! ni wapi huko tena mkuu . Mambo vipi hebu jibu swali la mdau.
nimekuelewa mdogo wanguYawezekana nimeanza kuzeeka ila memorycard yangu iko vyema kabisa.
I know kwamba FP na Digna ni watu wawili tofauti.
Ila nilimaanisha kwamba, enzi zile naanza kumfahamu Fixed Point (kabla ya FP) ndicho kipindi ambacho nilimuona pia Digna. Hivyo nimekutana na nyie kwenye nyuzi nyingi tu na sometimes nilikuwa nawachanganya kwa maneno yenu. So ulivyorudisha hili jina basi ndo umenifanya nimkumbuke Digna as I used to find both of you in MMU by then.
i.e Fixed Point alikuwaga anatumika zamani, kwa hivyo kurudi kwakwe kumenikumbusha pia members walokuwepo enzi hizo, sanasana Digna! (umenipata? sina uhakika kama nimejieleza vizuri!)
wengi wanaoandika au kusema kama wewe wanakuwa kwanza hawajiamini, wanaojiamini kiukweli huwa hawana maneno kama yako, wako wanaendesha maisha yao bila kujiawazia kama wana mapungufu au la...

Hey, how are you my dear, are you allrights?ooh yeah!
habari ya masiku mengi rafiki...
kuwachambua? what du u mean? naic hii iko nje ya ku be proud of myself.bora umewaambia ukweli wanaokosoa uumbaji wa Mungu
shida hapa unajishaua hivyo huku kumoyo unawachambua wanaume kama karanga, loh!
Uneshawahi kupata mimba weye?
usitegemee kuumizwa na maneno ya watu, wengi ni waongeaji na watasema mengi, wengi watakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, wengine watakuponda na wachache watakukubali, including the people who are close to you, you have to be you, always ur heart ndo atakua muamuzi wa mwisho in ur life. Kama your love anakwambia you are handsome wakati you knw its a lie, n still you are happy with those lies, ni dalili ya kutojikubali.Huh! Unajikubali b/c ur interests are not affected by ur body or life condition, ze interests of other pple are affected by their bodies and live conditions, so let them blame, however sometimes their blames change nothing but sometimes make them happy and live in real life eg: my love tells me am handsome while not....!
wengi wanaoandika au kusema kama wewe wanakuwa kwanza hawajiamini, wanaojiamini kiukweli huwa hawana maneno kama yako, wako wanaendesha maisha yao bila kujiawazia kama wana mapungufu au la...