I am very proud to be who i am

I am very proud to be who i am

Sasa atajuaje umemkumbuka? . . . . .Ulishaona futari ya mlenda?
Hahahahahaha tena mzubho yaani mlenda uliosagwa au wa unga . MMmmmh umenikumbusha mbali sana sijui kkoo unapatikana nimeumiss
 
mh tone inaonyesha una kabitterness fulani jinsi ulivyo. hebu sema kwanza kama mwanamke wamekukosoa kitu gani vile ulivyo?

mbona una mawazo hasiiii best, najiexpresss kilichopo moyoni
 
First of all naomba kujibu swali,am proud of who i am,lakini aliyepost hiyo topic nadhani kuna kitu sijui, ni haelewi au hana hicho kitu ndani yake i dont know,mimi ninavyojua kila mtu huwa anakuwa na hero/mentor/role model wake kwa mfano mimi hero wangu ni BIRDMAN kiongozi wa YMCMB i real like and appreciate him kuanzia alivyo,anavyovaa,the way he hustle,the way he rap, the way he talk etc etc and i really wanted to be successfull like him kwa kusema hivyo huwezi kuniambia eti cjikubali huo ni uongo mtakatifu coz Birdman naye ukimuuliza atakwambia ana hero wake aliyemfanya afike pale alipo u know
 
una. jina kama langu asee naomba tufahamiane plz pm me

ahahahaahhahahhahahhahahhahahah Kaizerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
njoo huku ushuhudie mpambano huku!
ahahahhhhahahahha walahi nimebaki hoi!
ni huyu huyu Asprin ndo anaitwa hiv au macho yangu yana kigugumizi!
 
Last edited by a moderator:
First of all naomba kujibu swali,am proud of who i am,lakini aliyepost hiyo topic nadhani kuna kitu sijui, ni haelewi au hana hicho kitu ndani yake i dont know,mimi ninavyojua kila mtu huwa anakuwa na hero/mentor/role model wake kwa mfano mimi hero wangu ni BIRDMAN kiongozi wa YMCMB i real like and appreciate him kuanzia alivyo,anavyovaa,the way he hustle,the way he rap, the way he talk etc etc and i really wanted to be successfull like him kwa kusema hivyo huwezi kuniambia eti cjikubali huo ni uongo mtakatifu coz Birdman naye ukimuuliza atakwambia ana hero wake aliyemfanya afike pale alipo u know

unajichanganya ndugu, l meant smthng diffnt na unavofikiri, yec, nina role model, ngoja nitoe mfano halisi, nampenda sana Komando Jide, napenda anavojituma, napenda jinsi alivyo, napenda lyfstyle yake, ninaweza kusema ngoja nijitume nami nifike nipaotapo, its not an offence, but kuwish kuwa yeye, kumcopy jinsi alivyo ili nijipe moyo kuwa ni yeye, icho ndicho ninachoongelea. Hujawai ona mashindano ya aliyefanana na Rihana? Wasichana waliangahika sana kutafuta kufanana sura na hata umbo kama Rihana. Wakatupa kapuni na kujidharau walivyoumbwa vyema. U got it? the american dream, mmmh y America n not Tanzania?
 
unajichanganya ndugu, l meant smthng diffnt na unavofikiri, yec, nina role model, ngoja nitoe mfano halisi, nampenda sana Komando Jide, napenda anavojituma, napenda jinsi alivyo, napenda lyfstyle yake, ninaweza kusema ngoja nijitume nami nifike nipaotapo, its not an offence, but kuwish kuwa yeye, kumcopy jinsi alivyonijipe moyo kuwa ni yeye, icho ndicho ninachoongelea ili . Hujawai ona mashindano ya aliyefanana na Rihana? Wasichana waliangahika sana kutafuta kufanana sura na hata umbo kama Rihana. Wakatupa kapuni na kujidharau walivyoumbwa vyema. U got it? the american dream, mmmh y America n not Tanzania?
Not Tz coz cjawahi kuipenda na wala ctakuja kuipenda hii nchi, labda skukuelewa vzuri lakini hicho ulichokieleza hapo nilipobold kinaitwa inferiority complex ni hayo 2 mkuu
 
Back
Top Bottom