ngina rema
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 215
- 81
unajichanganya ndugu, l meant smthng diffnt na unavofikiri, yec, nina role model, ngoja nitoe mfano halisi, nampenda sana Komando Jide, napenda anavojituma, napenda jinsi alivyo, napenda lyfstyle yake, ninaweza kusema ngoja nijitume nami nifike nipaotapo, its not an offence, but kuwish kuwa yeye, kumcopy jinsi alivyo ili nijipe moyo kuwa ni yeye, icho ndicho ninachoongelea. Hujawai ona mashindano ya aliyefanana na Rihana? Wasichana waliangahika sana kutafuta kufanana sura na hata umbo kama Rihana. Wakatupa kapuni na kujidharau walivyoumbwa vyema. U got it? the american dream, mmmh y America n not Tanzania?
Hata Hapa yalishafanyika na alipatikana alofanana sana na RAY C.. Ckumbuki mwaka bt it was there..