ha ha haaa, nimependa unavyojua kuruka vihunzi, lol!mi nafundisha kufuata syllabus bana!oh
ha ha haaa, nimependa unavyojua kuruka vihunzi, lol!
Umeona mazungumzo yalivyokuwa hapo Kaizer?
wala hatukuwa tunahashuana,
atanianzia wapi kwanza?
chezea dada mkubwa wewe!
safi sana mwalimu....ala!mchezo!
mi nafundishaa namaliza!
ni kazi ya mwanafunzi kunionyesha jinsi gani kaelewa mi nabaki kutikisa kichwa tuuu!unasema yeees!
ahahahhahaahhaha babu mi nilitoa mfano tuuu!
yani ilikuwa hivvv
dada mkubwa alisema anataka mtu wa kumwamkia
mi si ndo nikakukumbuka saaasa!
nikapiga cross pale tik tak nikajilipua kwa niaba yako!lol!
safi sana mwalimu....
mimi penda sana walimu yaani
haha haaa, nampenda sana mdogo wangu wa kiume......hahahah pa kuanzia papo @FP, ndo kama hivo umekuwa curious tayari keshjo utamtizama kwa jicho la tatu (Mungu apishie mbali)
ila on a serious note, kama ni katika muktadha huo basi huu mnakasha una tija kwa sababu kuna watu wanaamini kuwa at 30 bado ni wadogo kimajukumu, 'hawajaoa' so 'bado wadogo'.....nimewaona wengi huyo anawakilisha sehemu ya wengi wenye maono hayo
kwangu mimi ni maoni mfu na kukwepa majukumu, kwa miaka 30 mwanaume kamili asiye na kikwazo chochote anatakiwa awe ameshakamilisha mambo ya msingi katika maisha ikiwemo kuoa. La sivyo, sidanganyiki na kauli mbiu ya 'maisha kuanza ukiwa na miaka 40' kwani upo jangwani kama Yesu? khaaa
ewaaaaa......safi mwalimu snowhite na mtaala wako sio wa vichochoroni kama wa kawambwa
nimefurahi unalijua hilo, maana wanafunzi wengine hasa wakijiona wamebahatisha topic fulani basi wanatamani kumwambia mwalimu akae chini afundishe yeye, lol!"mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwalimu wake".......
Hivi kuna mtu hapendi teachers kweli.....
Kuna mmoja alikuwa ananifanya nachanganyikiwa badala ya kusoma...lol!!
Babu DC!!
hahahahahhahahahhahahhahahhahah watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeweh! Perry kuna haja ya kuanzisha huu uzi!Hivi kuna mtu hapendi teachers kweli.....
Kuna mmoja alikuwa ananifanya nachanganyikiwa badala ya kusoma...lol!!
Babu DC!!
swali gani hilo sijajibu mlongo wangu?naanzaje kuwa na mtaaala wa kichochoroni saasa!
wanafunzi wangu wangekuwa ni wa aina yako!
aaaa wapi!
chezeya mwanafunzi kuuliza swali kama alilouliza mwalimu kwa maneno mengine wewe!
dada kubwa ujue hujamjibu mwanafunzi wangu hivooo kwa hiyo hapa umekuwa barrier kwenye learning process yake!hebu mupe majibu ya kueleweka !usijali atayapima mwenywe kama yana ukweli ama la!hilo pia yupo vizuri!
ngoja na mimi nibadili profession....hahahahahhahahahhahahhahahhahah watu weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeweh! Perry kuna haja ya kuanzisha huu uzi!
kuja hapa uone mijikofia ya mwalimu!
:A S-heart-2:
:A S-heart-2::A S-heart-2:
:yo::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
MTUWAAAACHE NA TAALUMA mama yetu!af pande zote sasa!babu alishaaga humu oh naenda kuwapa wajukuu paukwa pakawa
kasikia walimu wanatajwa huyo!
pana chezeya mwalimu bana!pana chezeya kabisaaaa!
"mwanafunzi hawi mkuu kuliko mwalimu wake".......