mtu na babu yake mi nawaangalia tu na story zenu, lol!
ha haaaa, babu kuna mambo mawili
1) aibu
2) dharau
umeona eeeh! hii haikubaliki kabisaaaaa, na yeye lazima atuambieHAIWEZKAN!
babu tupe mkanda !uliona raha sisi tulivokuwa tunauza ramani za vita jinsi dada mkubwa alivokuwa anamsogezea mzee k miwani na gazeti enh!
ha haaa, niliona lile dongo lanko la babu kujutia ustaafu, lol!ah babu bana !
mi hata simwelewi!
af mkiondokaga hapa anaaanza oh mi sijui mstaafu kwahiyo sijui per diems zinajazwaje or sijui imprest forms na invoice zinaandikwaje
kwani enzi zako zilikuwa hamnaaa babu!ah!
su uaplay ujuzi banaaa
ha haaa, kuna mambo ni kuyapita tu..... unaweza uka-reveal vitu vingine...Hahahahahahaha,
Pole sana mkubwa mwenzangu...enzi zile kule Geshini...tulikuwa tunasema kuwa mtu mwenye mshipa wa noma lazima afe njaa....
Nakuonea huruma ila ndo hivyo tena... Lol!!!
Babu DC!!
Hahahahahahaha,
Pole sana mkubwa mwenzangu...enzi zile kule Geshini...tulikuwa tunasema kuwa mtu mwenye mshipa wa noma lazima afe njaa....
Nakuonea huruma ila ndo hivyo tena... Lol!!!
Babu DC!!
ndo nini sasa bila tafsiri? lol!
Leo hapa kazi rahisi tu.......
ahhahahahhaha mtasema tu hapa!ha haaaa, kwetu marufuku mkaka kukabidhiwa binti amsindikize.....
pesa utapewa