"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

nisome hapo juu dada mkubwa!
neno mwalimu limemkatiza babu usingizi
uzuri mimi na babu huwa hatuzuriani!
ataniambia tu ilikuwaje!we subiri
ndo nimenunua na popcorn zangu kabisaaaaa, sijui nivae na miwani ya 3D?
 
Sasa wewe nawe....unajilipua kwa watu ambao hata kurudisha pass hawawezi??

Ungeangalia kushoto na kulia kabla ya kupoteza golden chance bwana...

Babu DC!!
wasi wasi wako tu babu!
af mi unaniuziga saa nyingne!
sa si ufunge tuu mi nishakusogezea mpka golini af kipa kashashangilia kuwa mpira offside!
kimisingi nilhashasogeza goli!
 
nisome hapo juu dada mkubwa!
neno mwalimu limemkatiza babu usingizi
uzuri mimi na babu huwa hatuzuriani!
ataniambia tu ilikuwaje!we subiri


Wajukuu wameshalala bwana....

Nikaona nichungulie kiduchu...

Ila mhhhh....naona mnanifukuza .....

Endeleeni ila msiruhusu kuwepo na casuality yeyote!

Babu DC!!
 
Wewe tena unayeogopa hata kutaniwa ...lol??

Baki na huo mchuma wako hata kama ni wa 1947......

Babu DC!!
mi ndo hapo!unaponiuzi zaid
umeona amabvyo nilikuwa nishamaliza uwanja mzima mwenywe!kitu kilikuwa dk ya 87 af wa timu pinzani washanyanyuka vitini!kipa mwenywe alikuwa ashavua gloves hata refa na kamisaa ashastopisha saa yake!
we unaanza kuchukua mpira kuweka begani!
ah!
 
wasi wasi wako tu babu!
af mi unaniuziga saa nyingne!
sa si ufunge tuu mi nishakusogezea mpka golini af kipa kashashangilia kuwa mpira offside!
kimisingi nilhashasogeza goli!
ile topic ya kusogeza goli iliishiaje? The Boss naomba jibu tafadhali maana huyu mdogo wangu sijui anaogopa fimbo toka kwa dada mkubwa, lol!
 
Last edited by a moderator:
wasi wasi wako tu babu!
af mi unaniuziga saa nyingne!
sa si ufunge tuu mi nishakusogezea mpka golini af kipa kashashangilia kuwa mpira offside!
kimisingi nilhashasogeza goli!


Haya bwana....endelea tu hadi ufunge ila unagawie goli.....

Kama huamini kwamba kuna watu wameshakuwa of less use, tukwambieje??

Babu DC!!
 
mi ndo hapo!unaponiuzi zaid
umeona amabvyo nilikuwa nishamaliza uwanja mzima mwenywe!kitu kilikuwa dk ya 87 af wa timu pinzani washanyanyuka vitini!kipa mwenywe alikuwa ashavua gloves hata refa na kamisaa ashastopisha saa yake!
we unaanza kuchukua mpira kuweka begani!
ah!
mtu na babu yake mi nawaangalia tu na story zenu, lol!
 
si la naniiiiii Kaizer baba uliridhika na lile jibu la dada mkubwa?

aaa wapi si uliona 'follow up' question yangu bana.......mi sijui FP ana mpango gani na kijana wa watu........

ndo nasubiri tu huenda tukajua moja maana 'jiwe walilokataa waashi"......

Mkuu mwenzangu Dark City hawa watoto wa kingoni wamekushika pabaya mi nimeconfess mapemaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Wajukuu wameshalala bwana....

Nikaona nichungulie kiduchu...

Ila mhhhh....naona mnanifukuza .....

Endeleeni ila msiruhusu kuwepo na casuality yeyote!

Babu DC!!
sasa unaenda wapi na popcorn tulishanunua?
yaani tupate hasara hivi hivi, lol!
 
he he heeeeee....
hukuwahi kumtokea mwalimu kweli? hata chuo tu.......:shut-mouth:
au wa chuo sio walimu?
cc. gfsonwin snowhite

Mkubwa mwenzangu na wewe umejifunza lini uchokozi??

Umesahau kuwa wale wa 1947 kuna mambo mengine tunaondoka nayo bila kumwambia mtu.....

Nitafute siku nyingine nikuchungulishe hiyo movie..

Babu DC!!
 
aaa wapi si uliona 'follow up' question yangu bana.......mi sijui FP ana mpango gani na kijana wa watu........

ndo nasubiri tu huenda tukajua moja maana 'jiwe walilokataa waashi"......

Mkuu mwenzangu Dark City hawa watoto wa kingoni wamekushika pabaya mi nimeconfess mapemaaaaa
ha haaaaa, tumeshikwa tukashikamana, lol!
chezeya watoto wa kingoni wewe....
lile swali nilishalijibu bwana..... haniwezi yule anajua nimeshikamana, hata pa kuanzia tu hana,
kweli tena
 
aaa wapi si uliona 'follow up' question yangu bana.......mi sijui FP ana mpango gani na kijana wa watu........

ndo nasubiri tu huenda tukajua moja maana 'jiwe walilokataa waashi"......

Mkuu mwenzangu Dark City hawa watoto wa kingoni wamekushika pabaya mi nimeconfess mapemaaaaa
ahahahahhahahaha babu eti ansema yeye ni less of use!
hii mineno hii ndo Kaunga alisema anamdare mtu hii!
we subiri !tutaja jua mwisho wake!
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa mwenzangu na wewe umejifunza lini uchokozi??

Umesahau kuwa wale wa 1947 kuna mambo mengine tunaondoka nayo bila kumwambia mtu.....

Nitafute siku nyingine nikuchungulishe hiyo movie..

Babu DC!!
ha haaaa, nimekupata mkubwa mwenzangu, lol!
no uchokozi tena, ila na wewe usiwe unaniweka kwenye kona mwenzio.....
sisi tunajuana kwa hiyo rahisi sana kumbana mwenzio, sawa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom