"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

Mtambuzi ana uzee gan sasa? Nyie mnaomuita mzee ndio huwa mnamkokea moto?... We m mbayaaaaaaaaa
ila kweli!kijana mbichi kabisa yule hata ubwabwa wa shingo haujamtoka!
kijana mteke kabisa yule Mtambuzi!
ebana ankal enh niamkie mimi basi!
 
Last edited by a moderator:
Ila FP tuambie ukweli huyo kijana wa 30 yrs mmekutana wapi hadi maongezi yakafika hapo isije ikawa mlikuwa mnahashuana?:nono:
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi umekuwa accused and charged, hebu jitetee hapa
ajitetee kwa hoja ipi!
ipiii
kuwa alitwambia tusimwamkie?
kuwa alisema tumwite ankal?
kuwa anapenda kuambiwa mambo?
kuwa hapendi hasa mimi Nivea, amu Madame B gfsonwin mwaJ et al tunapokuwa tunamwamkia tunakuwa tunamnyima nini?
ajitetee kwa hoja ipi hasa!
eti ankal?
 
Last edited by a moderator:
tulikuwa mimi na mkaka mwingine tunakula, tukaanza kuongelea mambo ya familia, kujijenga kifamilia na mambo kama hayo.
mwenzake akawa hana uhakika huyu kaka kaoa lini, ndo mambo yote yalipoanzia.
akawa anachanganya na kumtajia zamani kidogo, jamaa ndo akaruka akamwambia nimeoa mwaka juzi tu, unajua mimi bado ni mdogo sana, lol!
bahati nzuri tulishamaliza kula, nikainuka nikaanza zangu maana angenishitukia namshangaa

Ila FP tuambie ukweli huyo kijana wa 30 yrs mmekutana wapi hadi maongezi yakafika hapo isije ikawa mlikuwa mnahashuana?:nono:
Umeona mazungumzo yalivyokuwa hapo Kaizer?
wala hatukuwa tunahashuana,
atanianzia wapi kwanza?
chezea dada mkubwa wewe!
 
Last edited by a moderator:
hee! makubwa, labda hapendi kuonekana umri umesonga au hajielewi??!
nmimi ndo nilishangaa....
wakati kaboi kangu ukitaka kafanye kitu kwa haraka mwambie "sikujua kuwa you are a small boy, huwezi kufanya hii fasta!" ataprove kwa njia yoyote ile kuwa yeye ni big boy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom