"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

Fixed Point

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2009
Posts
11,304
Reaction score
12,753
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?

Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
 
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno.
Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy"
sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?

au alitaka umfanye kaserengeti boy kaaaaaaake!
NAULIZA TU dada mkubwa!lol
 
Inategemea na mazingira na mada mliyokuwa mnaongea..Tupe habari kamili..ilikuwaje
tulikuwa mimi na mkaka mwingine tunakula, tukaanza kuongelea mambo ya familia, kujijenga kifamilia na mambo kama hayo.
mwenzake akawa hana uhakika huyu kaka kaoa lini, ndo mambo yote yalipoanzia.
akawa anachanganya na kumtajia zamani kidogo, jamaa ndo akaruka akamwambia nimeoa mwaka juzi tu, unajua mimi bado ni mdogo sana, lol!
bahati nzuri tulishamaliza kula, nikainuka nikaanza zangu maana angenishitukia namshangaa
 
shem wangu Mtambuzi leo unalo hapa, sijui utatokaje kwa hili?

si kaseeeeeeeeeeeeeeeeema tusimwamkie!sasa kumbe manake nini si ndo anasema kuwa yeye he is just a small boy!
wapi le petit garcon Mtambuzi waaapi !UJE UBHAELEZE NDYO VILE UKO MUDOGO!bhananibishia bhandughu!
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni inferiority complex tosha!!! Akisa bf wako atakusumbua mtu ile mbaya!! Ha ha!! Kidume ni lazima uoneshe udume wako hata kama wewe ni mfupi kama EMORO!!
 
FP unaombwa matunzo hivyo.
Kuna watu mjini hapa wanaendesha maisha yao na wake zao kwa hela za majimama.
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno.
Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy"
sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
 
Last edited by a moderator:
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno.
Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy"
sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa

Binamu biashara ya kondoo mkia.... ndio alikuwa anajinadi miaka 30 bado kadogooo
Kusema kweli hata mimi umri unavyozidi kusogea na mimi nazidi kukonda kwa kuwaza uzee
 
si kaseeeeeeeeeeeeeeeeema tusimwamkie!sasa kumbe manake nini si ndo anasema kuwa yeye he is just a small boy!
wapi le petit garcon Mtambuzi waaapi !UJE UBHAELEZE NDYO VILE UKO MUDOGO!bhananibishia bhandughu!
niliiona ile, mimi nikamwomba aniamkie nasubiria hajaanza kufanya hivyo bado.
si unajua dada mkubwa ninavyopenda kuamkiwa?
 
Huyo ni inferiority complex tosha!!! Akisa bf wako atakusumbua mtu ile mbaya!! Ha ha!! Kidume ni lazima uoneshe udume wako hata kama wewe ni mfupi kama EMORO!!
Bora angekuwa emoro ningemwelewa, yaani ni bonge la mtu....
labda ndo maana alikuwa anatuambia tusimwone mwili mkubwa ""he is just a small boy"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom