"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

Lkn hiyo si hata hapa TZ ipo; kijana anasema "mimi ni mvulana mwenye miaka 29"
Hata kwenye apps wanaandika "I a girl who is 24 years old" au akijitahidi sana atasema "I am a young man aged 32 years old" anasahau kuwa ni kazi ya msomaji kudetermine whether you are young or not, weka age yako inatosha.
ha haaa, hiyo ipo sana
ila huyu alichonishangaza ni kupigia mstari kwamba he is a small boy wakati ana 30 na mke juu
 
ha haaa, naona mlongo wangu unafwata maelekezo sawia, lol!

ah mi mtihani nilikuwa nafeli kwa kutokujua jibu sio kwa kufollow instructions!
mi nataka sasa ankal Mtambuzi anichape akhu!
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeenh! nina akili sana mimi basi tu!mtuhuhumiwa wetu aliniwahi mapema!ningekuwa
waziri wa jk mimi!ahahahhahha my bad!bora tu aliniwahi!
yaani nilitaka kumpigia simu mtuhumiwa sasa hivi....
yaani kuwa waziri wa JK ni bora kuliko kuwa mtuhumiwa wake?
 
Sasa, nani alimpiga bao mwenzake??

Ila kama babu mhhhhh....haku ya nani ningeua mtu..lol!!

Babu DC!!
babu kwa kuuliza maswali lol!
aliniwahi mwenzangu!tena alinilamba chenga pakubwa sana mweee!
minor mie enzi hizzo
muulize cacico ndo alikuwa pik pik posta wake mwe!
 
Last edited by a moderator:
babu naona na wewe unaanza kumchokoza snowhite

umeona enh dada mkubwa!
babu ananianza hivi hivi mi namuangalia tu hapa!
ila bora mi i had my share mapemaaaa!ahahahahahhahha ila nilikula share yangu bana wacha tu niwe mpole sa hhz!mtuhumiwa wa babu ana kesi ya kujibu i see!
 
Inabidi kumfunga gavana.....

Nilihisi kama anataka kumtia vidole vya macho mkubwa mwenzangu....

Ila naishia hapa, ngoja niwape wajukuu zile za paukwa pakawa....

Babu DC!!
ahahahhahaahhaha babu mi nilitoa mfano tuuu!
yani ilikuwa hivvv
dada mkubwa alisema anataka mtu wa kumwamkia
mi si ndo nikakukumbuka saaasa!
nikapiga cross pale tik tak nikajilipua kwa niaba yako!lol!
 
umeona enh dada mkubwa!
babu ananianza hivi hivi mi namuangalia tu hapa!
ila bora mi i had my share mapemaaaa!ahahahahahhahha ila nilikula share yangu bana wacha tu niwe mpole sa hhz!mtuhumiwa wa babu ana kesi ya kujibu i see!

We m mbeyaaaaaa
 
We m mbeyaaaaaa

ahahahhaahhahahhahahhaha bora mimi i see kuliko ankal Mtambuzi anayejitaja ye kijana mdogo mnoa eti hata we anataka akuamkie
ahaahhahahhahhahahahah ankaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii we ni mbaayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyaaaaah!
 
Last edited by a moderator:
ahahahhaahhahahhahahhaha bora mimi i see kuliko ankal Mtambuzi anayejitaja ye kijana mdogo mnoa eti hata we anataka akuamkie
ahaahhahahhahhahahahah ankaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii we ni mbaayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyaaaaah!

Mtambuzi ana uzee gan sasa? Nyie mnaomuita mzee ndio huwa mnamkokea moto?... We m mbayaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom