Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #461
ha haaaa, sipati picha mume wangu analialia bila sababu, lol!FP unafikiri kuoa tatizo yaani wanaboa hadi aibu kuna jamaa namfahamu nae alilelewa kimayai yaani ukiongea nae unaweza ukafikiri ni Mkameroon (Kiongozi UK) hadi mkewe anaboreka yaani haogopi kudeka kama toto la chekechea yaani issue ndogo ya kitoto fully kulilia lia. Katika kulea watoto ni muhimu kuwapa kipindi cha kujitambua wenyewe ili iwe rahisi kwao kukopu na ulimwengu wa sasa, wazazi tutambue hatutaishi na watoto milele tuwajenge kutambua wajibu wao mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa kabla jioni haijafika.
kama mamake hakumfanya ajione yeye ndo kidume atajifunza kutoka kwangu kilazima....
sasa mume akiwa analialia na mimi nifanyaje?