Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
mbaya zaidi ni kwamba unajikuta huna namna manake ualimu uliusoma mwenyewe.
halafu shule za waschana watupu ndo kama hivyo ni chache.
babu mwanafunzi wa form six unamfundisha ukichora FBD yeye nachora ya makalio yako.
mbaya zaid ukiwa makali sna unajikuta umewafukuzisha shule so unawaharibia maisha yake mazima.
FBD nini teacher??
Kwa hiyo hutaki wafukuzwe shule, na pia hutaki wapige demo?
Tunafanyaje sasa??
Babu DC!!