"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

kuna jambo ambalo mimi huwa napinga nalo kabisa, kwamba hata kama utamfukuza mwanafunzi mmoja ili fundisho kwa wengine lkn nyuma yake umeumiza watu wengi sana sana. kwanguu mimi huwa nawapa adhabu kali ndani ya shule pamoja na cancelling hadi ajielewe. kama njia ya kumbadilisha.

ni uchungu sana kwa mzazi mtoto akifukuzwa shule tena huwa ni balaa hata kwa wale waliobaki nyumbani.
ha haaa, kuna dogo aliwahi kufukuzwa shule.......
jinsi wazazi wake walivyoumia kwa kufukuzwa kwake, alihakikisha anatafuta shule nyingine mwenyewe na kuomba kwa ndugu wengine msaada wa kulipiwa ada...... ndo ulikuwa mwisho wa kutajwa mtoto mtukutu......... siku hizi bosi fulani hivi, sijui nimtaje? lol!
 
familia inaleta heshima...siku wakijitambua wataoa labda
ha haaa, huyo mwacheni ataoa mwenyewe....
nina rafiki wa karibu sana hajaoa na ana miaka 48 na sioni hata dalili za kutaka kummiliki mtu, ila sasa kwa vimwana ni balaa, kila weekend ana mwingine, lol!
 
he he heeee, babu hilo jina nimejaribu kutafuta ambalo halipo kabisa kwenye mtandao wangu.....
watu wasije wakaconnect dots bure

Tuendelee kuwachungulia...

Wakianza fujo tunatumua ile mbinu yetu ya kupunguza posts....

Sawa mkubwa mwenzangu??

Babu DC!!
 
ha haaa, kuna dogo aliwahi kufukuzwa shule.......
jinsi wazazi wake walivyoumia kwa kufukuzwa kwake, alihakikisha anatafuta shule nyingine mwenyewe na kuomba kwa ndugu wengine msaada wa kulipiwa ada...... ndo ulikuwa mwisho wa kutajwa mtoto mtukutu......... siku hizi bosi fulani hivi, sijui nimtaje? lol!

sasa huyu ana bahati ndugu wengine wana uwezo. jamani kuna watoto wanakuja shule hadi huruma.
yani anakuja kujikuta maisha yanambana na umeharibu maisha yake mazima.
haya mambo haya yanahitaji hekima tu na muda mwingine waalimu wanakuwa wazazi
 
ndo maana mnagombaniwa sana, lol!
mtu kama mimi hata mada moja ya ualimu sina unategemea nani atanigombania zaidi ya "small boy", lol!
 
hahahah mambo ya kuwa na shamba la pamba kichani kama EL sitaki kabisa hapa mwendo wa upara au mangopiko
he heeee.....
ngoja nimwambie binamu yako mwingine mtaalamu sana wa kutengeneza hizo mangopiko, lol!
 
ndo maana mnagombaniwa sana, lol!
mtu kama mimi hata mada moja ya ualimu sina unategemea nani atanigombania zaidi ya "small boy", lol!

darasa nililosoma mimi huku ungwinini wadada tumeolewa na wahandisi.

kisa eti mwl hana urgument zaid ya kutaka kuona familia inastawi tu basi, ukiwaambia kuhusu kuoa wanasheria wanadai hawa wanakuletea vifungu hadi ndani ya nyumba hawakuwataka kabisa. tena waliamini kwamba wadada wa sheria wengi huishia kuwa losers tu basi. ukiwaambia waoe watu wa bcom wanasema hao ni wapenda hela.

sijui waliwezaje kuderive hizi theories kwakweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom