"I am just a small boy"

"I am just a small boy"

Nini ataisikia kwa jirani rafiki? hahahahaha lol! umenichekesha kweli rafiki kumbe kwa jirani anaweza kuisikia eeh!? lol!

ha ha aaa give him a chance my foot, lol!
ataisikia kwa jirani tu rafiki
 
Naona mmenishupalia mtadhani nimekula vya kwenu... waja laana nyie msio na haya.....

Nilisema I hate SHIKAMOO kwa sababu kwa mila zetu ni mwiko kuamikiwa kwa salaami hiyo.... inakumbusha mambo ya kikoloni....

hahahaha siku ya kufa nyani hiyo,we shikamoo inakukumbusha ukoloni wapi?
 
umeona eeeh! hana lolote

ujue uzee unamjia vibaya,wengine uzeeni wanapata strock na msongo wa mawazo wamezeeka hawajajijenga kimaisha lakini Mtambuzi anawaza shikamoo sijui zinampunguzia naniiii mweh.
 
ujue uzee unamjia vibaya,wengine uzeeni wanapata strock na msongo wa mawazo wamezeeka hawajajijenga kimaisha lakini Mtambuzi anawaza shikamoo sijui zinampunguzia naniiii mweh.
ha ha haaa, hii sijaiona, akitokea hapa mimi simo, lol!
 
jamani leo nimeshangaa sana kukutana na mkaka wa miaka 30 akisema hayo maneno. Nijuavyo wakaka wengi hawapendi kuambiwa wadogo. Nyumbani kwangu ukitaka kumkosesha raha mwanangu wa miaka 4 mwambie "you are a small boy". Sasa huyu zee zima, tena mume wa mtu ana matatizo gani kusema he is just a small boy?
Mimi nimeshindwa kuelewa kwa kweli, labda wanasaikolojia akina watu8 na wengine mnaweza kunisaidia kunielewesha hapa
kwani hujui kama anataka mashavu
 
nilikuwa nakutafuta siku nyingi sana na ww unakubali kuona shem wako anapotea dhambini na mawazo yake ya ngorika.
jamani shem wangu kasema tu hataki kuwarudisha kwenye utumwa, na hana lingine lolote, lol!
 
jamani shem wangu kasema tu hataki kuwarudisha kwenye utumwa, na hana lingine lolote, lol!

mi nakubali kwa shingo upande kwa sababu naamini mwalimu wangu wa history alinifundisha nikaiva ile topic ya colonialism in Africa lakini hii ''shikamoo'' mmmh ngoja ninyamaze ujue ni baba yangu yule nisije pata laana bureeeeeee sababu ya ufukunyuku.
 
mwenzangu laana mbaya sana, bora ukae kimya hivyo hivyo
 
mwenzangu laana mbaya sana, bora ukae kimya hivyo hivyo

akileta unoko mi nampaka makavu live si unajua watoto tunatetewa na ile wizara ya Mhe. Sophia Simba yani hata nikienda sema hanitimizii mahitaji ya muhimu anawajibishwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom