Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
- #481
[/QUOTE]hii iliandiwka wapi kwani jamani!
af BAK toka lini mimi na wee tunafichana confesheni za dada mkubwa!?[
ngoja nikugwaye!nahisi kwenye hii mission Kaizer atanifaa sana we nahis kama dada mkubwa anakupa hongo hivi yailhai[/QUOTE=FP;5842355]sasa hapo si nilikuambia usisome rafiki?
we acha tu, na wao wanavyopenda kudekezwa wasitoe honeymoon mchezo!
ha haaa, yaani leo full kujihami......
sijui babu Dark City atakuwepo kunisaidia kurusha makombora? maana hii timu pinzani siyo rahisi sana. naona na BAK naye ana uchokozi wake, lol!
Last edited by a moderator: