Huyu Tony Kapola amekuwaje?

Nilienda kwenye mkesha wake mmoja hivi, sikuhitaji dakika mbili kutambua huyu ni tapeli.

Nasikitika yule ndugu yangu aliyenipeleka bado anahudhuria.
 
Na ukitaka kujua wajinga hawajawahi kuisha toka dunia iumbwe ndio kama hivo, kuna waumini huwambii lolote kuhusu mchungaji wao.
....Na Wanamshangilia kabisa !.. 😏😏😏
 
Atakua anawapulizia hewa ya mizimu waumini wanajikuta hawajielewi...
 
Shetani adhihakiwi
 
Yaani wafuasi wa makanisa uchwara type ya mwamposa, Tony, mwakasege, suguye, zumaridi, nick shaboka,
Sijui nawaonajee vilee, km wendawazimu.
Watanisamehe kwa kweli, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unasali wapi nije?
 
Pesa yeyote usiyoitolea jasho lazima ikuchanganye.Ila kuongozwa na watu kama hawa,huwezi kufika popote zaidi ya kuchanganyikiwa.Haya majigambo ni ushetani hamna Roho Mtakatifu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…