Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
Huyu bwana alisoma Forest Hill Secondary School,Morogoro kati ya 1983-1986 na akaishia hapo.Wakati huo akimiliki na kucheza timu ya mpira ikiitwa Dubai Sports na pale opposite na stand ya zamani walikuwa wanauza ice cream(cone??) on behalf of Bakhressa pale Morogoro.Sijui uhusiano wake na Bakhressa ukoje.Inadaiwa kuwa hiyo nyumba ya consul wa Comoro anaimiliki.Ikumbukuwe kuwa miaka ya mwanzo ya 2000 mabinti wawili(Mamiss) walikutwa wamekufa katika swiming pool ya jumba hilo na mpaka leo hakuna aliyeshtakiwa kwa vifo hivyo.Very controversial guy.He is very obese these days but alikuwa a talented footballer during schooldays....his ADC is on Ipyana Mwandambo
Corrections ADC is one Ipyana Mwandambo also an ex-Forest Hill Secondary School 1984-1987