Siyo kila mtu anapenda misifa kama Reginald Mengi
Na siyo kila asiyopenda kupiga picha, kueleza habari na kuonekana akijitangaza ni Gaidi ni hulka wako wengi watu wema wenye tabia hizo millions
Tabia ya kupenda kuonekana kwenye mitandao, magazetini ni tabia za watu malimbukeni wanaopenda sifa za ziada hata kama wanafanya mambo ya kawaida..ni wa washenzi tu ndio watawasifia
Sikubaliani na conclusion yako
wakati naandika sikuandika ili mtu akubaliane na mimi,
Mengi anaingiaje hapa?
watu wote wanaoonekana kwenye mitandao, magazetini n.k huwa wanaamua wao wenyewe? Ok, huyo mengi kila picha anasema wampige na kumweka kwenye media? Mtu mpaka ananunua club ya mpira hakuna gazeti lililomwandika?
Dear Tuma, sikujenga conclusion yangu kwa fiction,
''Despite his political rank, and his high status on the FBI's wanted list, not much is publicly known about Omar. Few photos, none of them official, exist of him and a picture used in 2002 by many media, has since been established to be another Taliban official. The authenticity of the existing images is debated''-wikipedia
Huyo si mwingine bali ni Mohammed Omar-''Mtaliban'' AU
Mullah Omar, ambaye pamoja na rank yake kubwa (kiongozi wa taliban mpaka kuwa head of state kwa miaka 5! watu hawazijui picha zake
Carlos the Jackal-Kuna picha za kuchorwa na photo zake nyingi zilikuwa zinakisiwa mpaka alipokamatwa.
Omar na Carlos walikuwa hawapendi ujiko ndio maana picha zao hazipatikani??
So, sikusema kufurahisha jamvi, nilisema kwa knowledge yangu ndogo; I may be wrong kwa huyu mtanzania, but still what I was thinking can be valid to some people globally as the case for Mullah and Carlos.
Halafu jaribu kuondoa personal issues unavyojadili mambo at least tukiwa huku 'kwa watu' kwenye jukwaa la intelligence.Fanya kama huoni, ukiwa huku vaa degree yako na hekima yako, tukienda kule bandani kwetu kwenye jukwaa la 'habari mchanganyiko ' vua degree na hekima yako sema utakacho. Maana akili unayo ila unajifanyisha tu, wakati mwingine sitakukumbusha tena , kuwa huku tuko kwa watu, wenyewe wanaita -jamii intelligence.