Huyu jamaa CV yake mbona ni kubwa lakini hajawahi kuandikwa magazetini? au kuwekwa kwenye any website for any reasons?
Labda kama spelling imekosewa, lakini kwa sifa mlizozitaja kuanzia kumiliki vituo mpaka kununua timu, lazima alitakiwa apatikane kwenye internet. Ukitumia google search unalipata JF forum tu, kwenye hii thread ya MKJJ!
If so, then sijajua hiyo report ina nini, ila kutopatikana kwenye media kwa mtu 'prominent' kama yeye is real alarming! Tabia za kutopigwa picha hovyo na kuficha ficha habari zako ni tabia za kigaidi.
Umekosea spelling mkuu andika Balhabou utapata habari zake nyingi kwenye google