Still humjui Mungu wako pole sana mkuubut nasikitika imefikia hatua hekalu la mungu limegeuzwa kuwa sehemu ya biashara ckuiz nakosa imani kabsa na ndo maan nimekuja na hii thread ni wap nikimbilie pengine unaweza na ushaur mzur nikapata option nyingine ya kunisaidia tofaut na kumlilia mungu.
Kweli,Always nasema kuwa pamoja na mapambano makali ya kutafuta kufanikiwa maishani,but always msimamo wangu utabakia kuwa katika maisha KUFANIKIWA NI BAHATI..haijalishi nani anaisababisha hiyo bahati,but ukweli kama hauna BAHATI mafanikio sahau...kuna wengi hata hawapambani kiivyo na wanatoboa,na weeengi wapambanaji huwa wanakufa wakiwa na average life,tofauti na matarajio ambayo walikuwa wamejiwekea maishani..
hahahahMsijipotoshe kwa Maneno haya. Akili haina Mwisho, Ingekuwa Hivyo tungeishia zama za Mawe
Ama kwel ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni. Fany unitag mkuuKuna thread inasema zijue tabia za wana jf, yaani kila comment hapa sifa yake ipo kule, kuna watu wanamjua Mungu hapa kuliko aliyeandika thread, kuna watu wanamaisha safi kabisa,😂😂😂😂.
Amen.Ikiwa bado hujapokea baraka zako usikate tamaa wala usione wivu kwakuona shuhuda za watu wengine.
Tambua muda wako unakaribia na utashangaza wengi.
Huko unakowaza ndiko utapotea kabisa, usione watu wanamihela weee hiyo mia yako idhamini hivyo hivyo kila mtu ana siri yake, wewe ukienda katika nyumba ya ibada mwamini Mungu tu, shika ulicho nacho usimtegee huyo mtu dinibut nasikitika imefikia hatua hekalu la mungu limegeuzwa kuwa sehemu ya biashara ckuiz nakosa imani kabsa na ndo maan nimekuja na hii thread ni wap nikimbilie pengine unaweza na ushaur mzur nikapata option nyingine ya kunisaidia tofaut na kumlilia mungu.
Wewe kinachokutesa ni kutaka ku show off. Na kuonekana na totoz wa ukweli.Kula kunywa kulala sio Mambo yote Mtu anahitaji ziada ambayo itamsaidia apatapo tatizo pia anahitaji kujimwambafai kwa matokeo mazuli yajuhudi zake.
Mkuu umejituma kwa juhudi ukayaacha maalifa
Mbona huangalii neema ulizojaaliwa unaangalia ambavyo huna?
Hapo wewe sio mzima wa afya? Kuna watu wana pesa kibao lakn hawafaidi maisha hata kidgo kutokana na maradhi yanayowakumba, ww mpk unamiliki smart4n na kuweza kuweka bando na kuchati jf unajiona una hali ngumu?
Binadamu tumejaaliwa neema nyingi sana lakini kazi yetu ni kuangalia tumenyimwa nn, Mungu atusamehe sana.
Mungu yupo haijalishi taabu na changamoto tunazopitia! Ni madhila gani unapitia? Umewahi kumkumbuka kwa zaka na sadaka? Pole kwa yote unayopitia!Daah!
Wakuu, najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka kama ni kuumia nimeumia sana kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunaemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii?
Hakuna mungu mwenye fikra zakunafiki Kama hiziWewe kinachokutesa ni kutaka ku show off. Na kuonekana na totoz wa ukweli.
kwa hali hiyo lazima utamlaumu sana Mungu nae anakubania kukuepusha na maovu.
mungu ana wivu sio?? akiona una totoz anaona wivu utamvimbiaHakuna mungu mwenye fikra zakunafiki Kama hizi
Ndio ujue Mungu hana Hekalu la Kukaa wala Kuabudiwa. Unafikiri kama Angekuwa na Hekalu angeruhusu Liwe ni La Biasharabut nasikitika imefikia hatua hekalu la mungu limegeuzwa kuwa sehemu ya biashara ckuiz nakosa imani kabsa na ndo maan nimekuja na hii thread ni wap nikimbilie pengine unaweza na ushaur mzur nikapata option nyingine ya kunisaidia tofaut na kumlilia mungu.
Mungu huwa hapendi kulaumiwa, ila anapenda kulalamikiwa. Mlalamikie kumuonyesha kuwa njia yako ni YEYE na bila yeye huwezi kutoka hapo ulipo. Usiendelee kumlaumu kwa sababu kwa kufanya hivyo, ATAKUPIGA muda siyo mrefu. Ni uhakika na siyo utaniDaah!
Wakuu, najitahidi sana kufanya kazi kwa bidii kwa miaka kadhaa hapo nyuma mpaka leo mwaka wa tano huu bila kutetereka. Kama ni kuumia nimeumia sana. Kuna muda nafikia stage najiuliza ya kwamba hivi kama yupo MUNGU wetu tunayemuabudu, kumuimba na kumsifu kila uchao, je anaweza niacha naendelea kuteseka namna hii?
Mkuu mim cna maana hio utakuwa umeninukuu vibayaWewe kinachokutesa ni kutaka ku show off. Na kuonekana na totoz wa ukweli.
kwa hali hiyo lazima utamlaumu sana Mungu nae anakubania kukuepusha na maovu.