Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Eti wazungu wako makini?
Nenda kwenye utalii wanalipia wakiwa kwao na bado watu wasio waaminifu wanawatandika mbaya.
Kinana kachafuka sana kuanzia alivyotapeli mashine za hospital mount meru akili yake ni kama imevurugwa na Ufisadi.
 
masalia umepanic???
yani sasa hivi tunawachoresha tu, ngoja documents zote za huu uchafu wa kinana zikamilike tuwamulike kwenye magazeti na midahalo mbalimbali washenzi nyie.

Asipanic wakati mmegusa lishe yake? Chezea fisadi ww?
 
mitandao ya kijamii bana!!! yani kila unachajisikia unaandika ili watu wachangie,na wachangiaji wengine wanakurupuka kunyonyesha wanachangia utumbo!!!
 
Ukombozi wa nchi hii ni mgumu sana. Watu kama hawa watakuwa tayari damu imwagike kuliko kuachia madaraka hata kama wakishindwa uchaguzi. Aidha watakuwa tayari kulipa mabilioni mengi ili kugushi matokeo ya uchaguzi. Ndio maana hata mchakato wa kupata Katiba mpya unakumbwa na sintofahamu! Ni lazima wainunue hata hiyo!!

Kama taifa ni lazima tuamue kubadilika,

Tuvihubirie elimu ya mageuzi vizazi vya leo viwe ukombozi sasa na kesho,
 
lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Mtoa hoja kasema ana nyaraka la msingi hapa niksubiri azilete ndo tunaweza kuwa na la kusema.
unajua tatizo ni hili ukishakukamatwa kuwa mwizi au nyumbanimkwenu kuna mwizi,kila kitu kikiibiwa kwa jirani lazima kwanza uhisiwe wewe,lakini mtuhumiwa si mkosaji hadi itakapothibitika.
wakati mwingine pia ni muhimu kujiuliza kwanini kila mara usemwe wewe tu kuwa unakasoro inamana watu wote wanakuchukia.kwa nn kinana?
 
Mkuu, kwa nini Jina la Kinana limeanza kusikika baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa ccm wakati yeye ni mfanyabiashara wa siku nyingi?
 
Lisemwalo lipo kama hlipo laja! Vijana fanyeni kazi yenu vizuri tuwekeeni data maana CCM wanaifisadi hii nchi vilivyo. Ndio tunasema ni wakati wao kwa kuwa ndio watawala lakini utawala wa kuifilisi ni utawala gani? Tuliambiwa polisi wakikamata mafisadi uchumi wa nchi utayumba kwa hiyo tutaendelea kufisadiwa hadi lini?
 
Mi nashindwa kuelewa ni wapi mtoa mada hajaeleweka!!

Kasema, document zilizoko TRA zinaonyesha kiasi cha kodi kilicholipwa ni Tsh.16mln.

Nyaraka zilizoko Straburg, zinaonyesha Tsh.8.56 bln.

Pia akasema (mwisho), MAOFISA WA TRA WASEMA LINAPOKUJA SUALA LA SHARAF(kampuni ambayo Kinana anamiliki hisa 7500 kati ya 10,000) WANAFANYA KAZI KWA MAELEKEZO YA KINANA!!

Lumumba ni wapi hamjaelewa!!? ACHENI KUTETEA UPUMBAVU!!
 
Mkuu, kwa nini Jina la Kinana limeanza kusikika baada ya kuchaguliwa kuwa katibu mkuu wa ccm wakati yeye ni mfanyabiashara wa siku nyingi?

because he is preaching water while he is drinking wine..maneno yake na matendo yake hayarandani.
 
Hii post mbona kama inafanana fanana na ile ya DR Slaa na ujenzi wa hospitali?? au ...........? anyway hatukatazwi kufikiri......
 
masalia umepanic???
yani sasa hivi tunawachoresha tu, ngoja documents zote za huu uchafu wa kinana zikamilike tuwamulike kwenye magazeti na midahalo mbalimbali washenzi nyie.

Jamani uzushi na kupenda kuchafuana huko kumezidi, Kampuni ya strasburg imeshinda zabuni yake kihalali, na ilishakuwepo nchini muda mrefu, ilishughulika na ujenzi wa barabara enzi ya mzee mwinyi, na pia ilikuwa na contract kubwa nchini kenya, kujenga barabara ya Nairobi to Mombasa (Partial). Sharaf Shipping ni shirika maarufu duniani kwa uchukuzi, makao makuu yake ni Dubai, na ina offici nyingi, kwa hivyo mara nyingi mashirika makubwa hupenda kutumia shipping companies kama hizo.

Nadhani wana JF wote tungependa ukweli utumike kuliko majungu,
 
Ok, kwa data za TRA wamelipa 16 million, taarifa za ndani 8.56 billion, ada ya wakala 7.8 billion? kama ni kweli hii ni epa nyingine hapa, ila weka ushahidi pia
 
Hata kusema rubbish ktk issue za msingi ni "rubbish" pia!!

Maccm mbona mnapaniki hivi mkiambiwa ukweli!? Mitusi inawachomoka badala ya hoja!!

Kinana ktk hili HASAFISHIKI hata awaongezee posho kumsafisha!! Masuala ya kitaifa tuweke ushabiki pembeni tujenge Taifa imara!!

Issue za madawa ya kulevya na Katiba mpya na Ufisadi si za kutanguliza ushabiki kama zimo kichwani!!

ACHENI UPOYOYO ALAAH!!
 
Jamani uzushi na kupenda kuchafuana huko kumezidi, Kampuni ya strasburg imeshinda zabuni yake kihalali, na ilishakuwepo nchini muda mrefu, ilishughulika na ujenzi wa barabara enzi ya mzee mwinyi, na pia ilikuwa na contract kubwa nchini kenya, kujenga barabara ya Nairobi to Mombasa (Partial). Sharaf Shipping ni shirika maarufu duniani kwa uchukuzi, makao makuu yake ni Dubai, na ina offici nyingi, kwa hivyo mara nyingi mashirika makubwa hupenda kutumia shipping companies kama hizo.

Nadhani wana JF wote tungependa ukweli utumike kuliko majungu,
Hujasema lolote kuhusiana na mada iliyopo ya kodi.
 
Koplo V Hopeless!Thibitisha hoja yako sio kulia lia kama mtoto ambae hajanywa uji
.
Rubbish
Jamani, hivi ndivyo tunavyohangaikia nchi yetu?

Wewe ni political prostitute with zero integrity and nothing to show since you started your political journey except a few inflammations in your papuchi

mleta mada ana hoja, details alizotoa haziwezi kuja tu to that details kijinga
 
Back
Top Bottom