Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Nchi yetu si masikini hata kidogo,Watawala ndio wanaimba wimbo wa umaskini kuwaaminisha watanzania kuwa nchi ni masikini.Kodi nyingi sitahiki kuingia hazina ya nchi zinaishia mifukoni mwa wachache.inaniuma zaidi pale ziishiapo kwa raia wasio asili ya nchi hii,si akawekeze Somalia!
 
You are provoking the mass. You lack very basic ingredients of wisdom. You are likely to pay a very high price during your life time. Take care

Wewe dada mbona unaongea kama mtu aliyebanwa na hajakubwa alafu akakuta kuna mtu tayari msalani. angalia usijiarishie 2015 Juliana..!
 
Last edited by a moderator:
We jamaa akili zako pungufu kweli sasa gamba hapa linakujaje? Hivi nyie watu mnaugua ugonjwa wa siasa enhee? Ni joint venture ndiyo (AARSLEFF - INTERBETON JV) so tatizo lako ni nini? Je hawana misamaha ya kodi? Ni vema ukajifunza kujikita kwenye pointi kuliko kugeuka mwalimu wa imla kwa kusahihisha spelling.

Naona bado huelewi hata unachokiwasilisha bali unatokwa na mapovu tu. Hiyo joint venture ni kati ya Aarsleff na Bam ndio maana inaitwa Aarsleff-Bam J.V, sasa naona wewe unachanganya madesa na kuiingiza interbeton ambayo ni kampuni nyingine tofauti iliyowahi kufanya kazi ya ujenzi wa barabara ya Iyovi-Iringa kwa kushirikiana na kampuni ya Aarsleff na kufahamika kama Aarsleff-Interbeton J.V.
 
Tanzani inaongoza kwa majungu.

Hebu tudhibitishie kuwa ni majungu kaka/dada. Ingekuwa vizuri kwa kumpinga mleta maada kuwa alichoandika sio kweli na ukweli unao wewe na uuweke hapa. Umejibu kama Wabunge wako!!!!
 
Jangili somali litamaliza tembo wetu,tuungane kulitokomeza pamoja na genge lake (ccm)
 
Naona bado huelewi hata unachokiwasilisha bali unatokwa na mapovu tu. Hiyo joint venture ni kati ya Aarsleff na Bam ndio maana inaitwa Aarsleff-Bam J.V, sasa naona wewe unachanganya madesa na kuiingiza interbeton ambayo ni kampuni nyingine tofauti iliyowahi kufanya kazi ya ujenzi wa barabara ya Iyovi-Iringa kwa kushirikiana na kampuni ya Aarsleff na kufahamika kama Aarsleff-Interbeton J.V.

Zote ni kampuni za ujenzi point hapa ni kujibu je hazina msamaha wa kodi? Maana hata kama sehemu yao ya ujenzi imekwisha bado mkataba wao haujaisha kwa kuwa barabara bado ipo chini ya uangalizi. Naomba unijibu kama zina msamaha wa kodi au hapana?
 
Back
Top Bottom