Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Ok, kwa data za TRA wamelipa 16 million, taarifa za ndani 8.56 billion, ada ya wakala 7.8 billion? kama ni kweli hii ni epa nyingine hapa, ila weka ushahidi pia

Safi Kiongozi, hili suala sio la kitoto kama Lumumba wanavofikiria! Nilitegemea wakomalie jamaa aweke ushahidi alosema anao kama ulivofanya, badala yake wanaongelea upuuzi utadhani wamedumaa akili!! Lakini pia nimegundua hawataki huo ushahidi maana Boss wao exactly ataumbuka!!

MODS:- VP JAMAA MMEMRUHUSU HIZO DOCS AZIWEKE?
 
Ok, kwa data za TRA wamelipa 16 million, taarifa za ndani 8.56 billion, ada ya wakala 7.8 billion? kama ni kweli hii ni epa nyingine hapa, ila weka ushahidi pia

Acheni utoto.hakuna biashara kama hiyo duniani. yaani wakala apate bilioni 7.8 na TRA ikapata milioni 16 tu?
 
Tuleteeni documents ndiyo tuanze na makamuzi, otherwise, tutaona kama ni majungu
 
Taarifa za TRA mpaka jana zilikuwa zinaonyesha kuwa kampuni hiyo imeingiza mizigo/mitambo yenye thamani ya kodi ya shilingi za kitanzania 16 milioni tu kupitia kampuni ya Sharaf Shipping Company ambapo Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa Sharaf Shipping Company iliyosajiliwa Dar es Salaam tangu mwaka jana mwezi wa saba.

Kinyume chake taarifa na nyaraka za kiintelijensia kutoka ndani ya kampuni hiyo ya Strabag zinaonyesha kuwa kampuni ya Strabag imeilipa 8.56 bilioni kampuni ya wakala wa meli ya Sharaf Shipping Company kama malipo stahiki ya kodi ya uingizaji mitambo nchini tangu kampuni hiyo ilipoanza uingizaji wa mitambo ya ujenzi nchini 03-07-2012,

Kisha ikailipa tena 7.8 bilioni kama gharama za uwakala wa mitambo hiyo,
Wengi huenda hatujaelewa mleta mada anachoongelea, ni kitu muhimu sana. Akiweza kuweka ushahidi wa haya madai basi japo kwa uzoefu wa ufisadi hapa Tanzania hizi ni pesa ndogo lakini zinaweza kutoa picha halisi ya uhujumu uchumi wa hali ya juu unaofanywa na wale waliopewa jukumu la kuudhibiti. Ngoja tusubirie huo ushahidi na ikitokea ukatua hapa mwangwi wake utakuwa mkubwa kiasi cha kuiangusha serikali.
Na kama watuhumiwa wanalijua hili basi watakuwa wanahaha kumtafuta
Koplo V kwa njia yoyote ile au hata ikiwezekana kuifunga jf.

Wajinga ndio waliwao! Lakini Mungu atawakomesha siku moja kwa aibu yao kubwa!
 
Acheni utoto.hakuna biashara kama hiyo duniani. yaani wakala apate bilioni 7.8 na TRA ikapata milioni 16 tu?

Wewe unachopinga ni nini hapa!!? Ni mangapi yamewezekana chini ya serikali yako ya ccm!!? Umewahi kusikia hii kitu inayoitwa CHENJI YA RADA na ilikuwaje??
 
Wewe unachopinga ni nini hapa!!? Ni mangapi yamewezekana chini ya serikali yako ya ccm!!? Umewahi kusikia hii kitu inayoitwa CHENJI YA RADA na ilikuwaje??

Hiyo mipasho yenu imeexpire
 
CCM ni ukoo wa ibilisi,yote majizi anzia kwa m/t hadi balozi wa nyumba 10.ccm haitaokolewa kwa umbea wa kijinga mtandaon
 
Back
Top Bottom