Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Hivi huyo mheshimiwa si alikuwa ametangaza kujiondoa katika masuala yote ya kisiasa kwa kuwa alitaka kula matunda ya kazi aliyoifanya muda mrefu? Ilikwaje wenzake wakagoma kumpa fursa ya kula alivyokuwa amejikusanyia na kuamua kumpa kazi ya kuwa mtendaji mkuu wa chukua chako mapema?
 
Hiyo inaitwa fever in return,,, jk since 2005 alikuwa hana fedha za kugombea uraisi,, akabebwa na lowassa na rostam na wezi wengine, 2010 kabebwa sana na kinana , unafikiri mzigo utarudi vp??? Nchi imeshauzwa hii tutembee mwendo wa fedha na mfukoni hamna kitu
 
Kwani Kinana wizi kaanza leo jamani???!!! anajulikana tu kwamba yeye ni kabaka, jambazi, na jangili. so hata nisipoona documents mimi nitaendelea kuamini Kinana ni mwizi tu kama wengine wote walioko CCM
 
Koplo V Ukoo wa panya CCM Babu, Bibi, Baba, Mama, mtoto, mjukuu yote haya ni majizi hakuna kushangaa!! Sembuse Adultembo KINDOVU!!?????? Mnaendelea kumuonea EL mbona hili ni sawa na sakata la Richmond tuu!??

Kuna siku niliona mitambo ya kumwaga lami kwenye barabara ya Korogwe - Moshi ina nembo ya DFP. Ukweli nilijiuliza, tangu lini strabarg wanafanya mradi ambao ni donor funded?
 
Last edited by a moderator:
Hapo hamna cha tuhuma. ni majungu tu na wivu unamsumbua mleta mada pamoja na nyie mnaomsupport ukiwemo wewe Yeriko

Unatuthibitishiaje kuwa ni majungu tu na wivu?

Kuiba kunaonewa wivu?
 
Zabuni ya Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar ulipitia kwenye misukosuko ya urasimu wa hali ya juu baada ya wanachama na makada maarufu wa CCM kuteka mchakato mzima,

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na Katibu mkuu wa CCM ndugu Abdulahman Kinana ndie aliyeileta nchini Tanzania Kampuni ya Strabag ya Ukandarasi wa Ujenzi iliyoanzishwa na Muastria katika mji wa Villach na kuweka makao yake makuu mjini Vienna Austria ambapo kampuni hii ndiyo ilishinda zabuni hiyo

Kinana aliileta kampuni hii kutoka tawi la kampuni hiyo lililopo Ujerumani,

Kuileta kampuni hiyo nchini ni jambo jema, lakini hoja yangu ni namna Kinana anavyousababishia TRA kukosa mapato kutoka kwenye Kampuni hiyo ya uingizaji mitambo ya ujenzi nchini,

Taarifa za TRA mpaka jana zilikuwa zinaonyesha kuwa kampuni hiyo imeingiza mizigo/mitambo yenye thamani ya kodi ya shilingi za kitanzania 16 milioni tu kupitia kampuni ya Sharaf Shipping Company ambapo Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa Sharaf Shipping Company iliyosajiliwa Dar es Salaam tangu mwaka jana mwezi wa saba.

Kinyume chake taarifa na nyaraka za kiintelijensia kutoka ndani ya kampuni hiyo ya Strabag zinaonyesha kuwa kampuni ya Strabag imeilipa 8.56 bilioni kampuni ya wakala wa meli ya Sharaf Shipping Company kama malipo stahiki ya kodi ya uingizaji mitambo nchini tangu kampuni hiyo ilipoanza uingizaji wa mitambo ya ujenzi nchini 03-07-2012,

Kisha ikailipa tena 7.8 bilioni kama gharama za uwakala wa mitambo hiyo,

Wanabodi hayo ni machache tu lakini nitaweka hapa nyaraka za malipo ya Strabag kwa Sharaf Shipping Company na nyaraka za malipo ya Sharaf Shipping Company kwa TRA kama Mods watanipa kibali cha kuweka hapa,

Maafisa wa TRA wanasema linapofika suala la Sharaf Shipping Company hufanya kazi kwa maagizo ya katibu mkuu wa ccm,

Huyo ndie katibu mkuu wa chama tawala nchini Tanzania
mpaka itakapofikia 2015 kila kitu wazi na wananchi hivi sasa wafuatilia kila kitu
 
Hizi ni porojo tupu. Unazungumzia kodi kwenye mradi wenye msamaha wa kodi au lengo ni kuendeleza sera ya siasa za majitaka? Kwa kukusaidia kuna kampuni nyingine inaitwa ashref-interbeton wanajenga barabara ya Iringa-Mbeya nao hawalipi kodi, waambie TRA wakupe document zao yawezekana kampuni ya Kinana ilihusika kusafirisha vifaa vyao pia.
 
Zabuni ya Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar ulipitia kwenye misukosuko ya urasimu wa hali ya juu baada ya wanachama na makada maarufu wa CCM kuteka mchakato mzima,

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na Katibu mkuu wa CCM ndugu Abdulahman Kinana ndie aliyeileta nchini Tanzania Kampuni ya Strabag ya Ukandarasi wa Ujenzi iliyoanzishwa na Muastria katika mji wa Villach na kuweka makao yake makuu mjini Vienna Austria ambapo kampuni hii ndiyo ilishinda zabuni hiyo

Kinana aliileta kampuni hii kutoka tawi la kampuni hiyo lililopo Ujerumani,

Kuileta kampuni hiyo nchini ni jambo jema, lakini hoja yangu ni namna Kinana anavyousababishia TRA kukosa mapato kutoka kwenye Kampuni hiyo ya uingizaji mitambo ya ujenzi nchini,

Taarifa za TRA mpaka jana zilikuwa zinaonyesha kuwa kampuni hiyo imeingiza mizigo/mitambo yenye thamani ya kodi ya shilingi za kitanzania 16 milioni tu kupitia kampuni ya Sharaf Shipping Company ambapo Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa Sharaf Shipping Company iliyosajiliwa Dar es Salaam tangu mwaka jana mwezi wa saba.

Kinyume chake taarifa na nyaraka za kiintelijensia kutoka ndani ya kampuni hiyo ya Strabag zinaonyesha kuwa kampuni ya Strabag imeilipa 8.56 bilioni kampuni ya wakala wa meli ya Sharaf Shipping Company kama malipo stahiki ya kodi ya uingizaji mitambo nchini tangu kampuni hiyo ilipoanza uingizaji wa mitambo ya ujenzi nchini 03-07-2012,

Kisha ikailipa tena 7.8 bilioni kama gharama za uwakala wa mitambo hiyo,

Wanabodi hayo ni machache tu lakini nitaweka hapa nyaraka za malipo ya Strabag kwa Sharaf Shipping Company na nyaraka za malipo ya Sharaf Shipping Company kwa TRA kama Mods watanipa kibali cha kuweka hapa,

Maafisa wa TRA wanasema linapofika suala la Sharaf Shipping Company hufanya kazi kwa maagizo ya katibu mkuu wa ccm,

Huyo ndie katibu mkuu wa chama tawala nchini Tanzania

Moderators ni vema mkampatia room huyu kamanda aweke data kusuport hoja yake.

tunamengi sana ya kujifunza kwenye hoja zinazobeba ushahidi dhidi ya zile za kizushi ambazo

hushusha ubora wa jukwaa letu JF. Tunakilasababu kujivunia jukwaa hili kwa ubora na usahihi wa

taarifa tuzipatazo
kwa ushahidi na data ilikuifungua Tanzania kutoka kitanzi cha ujinga na sintofaham.
 
Hivi huyo mheshimiwa si alikuwa ametangaza kujiondoa katika masuala yote ya kisiasa kwa kuwa alitaka kula matunda ya kazi aliyoifanya muda mrefu? Ilikwaje wenzake wakagoma kumpa fursa ya kula alivyokuwa amejikusanyia na kuamua kumpa kazi ya kuwa mtendaji mkuu wa chukua chako mapema?

ufisadi mtamu aisee,ni kama kula nyama za watu huwezi kuacha.ndo mana CCM imejitahidi kuacha lakini wapi
 
Kinanaaaa ,kila dili yupo....ila zile za china zilibuma vibaya
 
Unaambiwa tembo wetu wakimuona hukimbia, japo wana miili mikubwa ila wakimuona kinana hutimua mbio.
 
Bado nasubiri nyaraka toka kwa Koplo V ili nami nitoe maoni yangu. Tunaambiwa Strabag inatekeleza mradi ambao unafadhiliwa na Bank ya Dunia na hawa wafadhili huwa wana masharti yao hasa kuhusu masuala ya kodi.
 
Last edited by a moderator:
Koplo V Hopeless!Thibitisha hoja yako sio kulia lia kama mtoto ambae hajanywa uji
.
Rubbish
Juliana Shonza!
Mwanasiasa malaya (kisiasa sio kingono)
Huna hata ushawishi wa kumlazimisha Koplo V afunguke;
Tangu umehamia CCM hata uwezo wako wa kufikiri umepungua.
Jipange ewe Binti mdogo mzuri na mrembo
Acha ubongo wako ufikiri nje ya CCM
Fikiri ukiwa ndani ya Tanzania hasa Tanganyika;
CCM inapita kama ambavyo CDM ilivyopita kwako.

Bazazi!
​
 
Last edited by a moderator:
Zabuni ya Mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar ulipitia kwenye misukosuko ya urasimu wa hali ya juu baada ya wanachama na makada maarufu wa CCM kuteka mchakato mzima,

Mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM na Katibu mkuu wa CCM ndugu Abdulahman Kinana ndie aliyeileta nchini Tanzania Kampuni ya Strabag ya Ukandarasi wa Ujenzi iliyoanzishwa na Muastria katika mji wa Villach na kuweka makao yake makuu mjini Vienna Austria ambapo kampuni hii ndiyo ilishinda zabuni hiyo

Kinana aliileta kampuni hii kutoka tawi la kampuni hiyo lililopo Ujerumani,

Kuileta kampuni hiyo nchini ni jambo jema, lakini hoja yangu ni namna Kinana anavyousababishia TRA kukosa mapato kutoka kwenye Kampuni hiyo ya uingizaji mitambo ya ujenzi nchini,

Taarifa za TRA mpaka jana zilikuwa zinaonyesha kuwa kampuni hiyo imeingiza mizigo/mitambo yenye thamani ya kodi ya shilingi za kitanzania 16 milioni tu kupitia kampuni ya Sharaf Shipping Company ambapo Taarifa zinaonyesha kuwa Kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa Sharaf Shipping Company iliyosajiliwa Dar es Salaam tangu mwaka jana mwezi wa saba.

Kinyume chake taarifa na nyaraka za kiintelijensia kutoka ndani ya kampuni hiyo ya Strabag zinaonyesha kuwa kampuni ya Strabag imeilipa 8.56 bilioni kampuni ya wakala wa meli ya Sharaf Shipping Company kama malipo stahiki ya kodi ya uingizaji mitambo nchini tangu kampuni hiyo ilipoanza uingizaji wa mitambo ya ujenzi nchini 03-07-2012,

Kisha ikailipa tena 7.8 bilioni kama gharama za uwakala wa mitambo hiyo,

Wanabodi hayo ni machache tu lakini nitaweka hapa nyaraka za malipo ya Strabag kwa Sharaf Shipping Company na nyaraka za malipo ya Sharaf Shipping Company kwa TRA kama Mods watanipa kibali cha kuweka hapa,

Maafisa wa TRA wanasema linapofika suala la Sharaf Shipping Company hufanya kazi kwa maagizo ya katibu mkuu wa ccm,

Huyo ndie katibu mkuu wa chama tawala nchini Tanzania

Nuhu alijenga Safina ilipokamilika watu wakaalikwa waingie ndani, wengi walidhalau, na si ajabu wengine walitukana na kutoa maneno ya kashfa, mwisho walipotea!
 
Back
Top Bottom