babalao 2
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 5,426
- 3,308
Mizigo inathamani ya kodi shilingi milioni 16 za kitanzania. Strabag wamewapa Sharaf bilioni 8.56 kama stahiki ya malipo ya kodi, hivi ndugu zangu mmeona kama nlivoona mie au mie sijaona vizuri? Mzigo wa milioni 16 ulipiwe ulipiwe 8.56 billions?? Hizi habari nyengine ni ushabiki umewekwa mbele. Hao strabag wamekuwa wageni wa kuingiza mizigo mpaka watoe hizo bilioni zote kwa mzigo wa milioni 16???
Mkuu ww umesoma ukaelewa tofauti.
Mizigo TRA inaonyesha imelipiwa kodi ya sh. 16 milion tu hii si thamani ya mizigo ni kodi tu iliyolipwa TRA.
Wakati kwa sharif inaonekana mizigo hyohyo imelipiwa kiasi cha 8 bilion kama kodi halisi kwenda TRA.
Hii ni kwamba kodi halali ni ni inayoonekana huko sharif ila wao walidanganya na kulipa tumilion 16.
Thamani ya mzigo haikuwekwa hapo na mleta mada.
Cha kujiuliza kwa nini hzo bilioni 8 za mwanzo na hzo bilioni 7 hazionekani TRA? Ila zinaonekana 16 milioni tu?
Tusichafukwe na roho wanalumumba tutafakari pamoja.