Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Hapo penye red hujasomeka kabisa. maana kampuni ya Strabag imeanza kuingiza mitambo yake mwezi Februari 2012. wewe unasema Julai 2012. kajipange tena mkuu na uje kivingine. kitumbua umekiweka mchanga wewe mwenyewe na sasa unatamani kukila na haiwezekani tena
Unazidi kusaidia upelelezi tu,

Taarifa za TRA zinaonyesha malipo ya kodi ya mitambo ya kampuni hiyo imeanza kulipwa 03/07/2013,

Kwahiyo unazidi kumuanika Kinana kuwa miezi minne nyuma alikwepa kolipia kodi ya mitambo hiyo,
 
Unazidi kusaidia upelelezi tu,

Taarifa za TRA zinaonyesha malipo ya kodi ya mitambo ya kampuni hiyo imeanza kulipwa 03/07/2013,

Kwahiyo unazidi kumuanika Kinana kuwa miezi minne nyuma alikwepa kolipia kodi ya mitambo hiyo,
Brother hizo nyaraka vipi? na Vienna haipo Uswis kama ulivyosema katika post yako ya kwanza bali ipo Austria.
Hilo unazungumziaje?
 
Unazidi kusaidia upelelezi tu,

Taarifa za TRA zinaonyesha malipo ya kodi ya mitambo ya kampuni hiyo imeanza kulipwa 03/07/2013,

Kwahiyo unazidi kumuanika Kinana kuwa miezi minne nyuma alikwepa kolipia kodi ya mitambo hiyo,

Koplo V, bora unywe sumu ujiue. ona sasa unavyoaibika kutokana na kujichanganya. kwenye ,maelezo yako ya hii thread umesema kuwa kampuni imeanza kuingiza mizigo nchini 03.o7.2012. sasa unasema kuwa TRA imeanza kulipwa 03/07/2012. Utaratibu ni kuwa, mzigo hulipwa TRA kabla haujatolewa bandarini. sasa iweje mzigo uanze kuingizwa Februari 2012 na malipo yafanyike Julai 2012/ BILA SHAKA UTAKUWA UMEVURUGWA WEWE. Ninaamini kuwa maelezo yote ni yako. sasa mbona unaitafuta aibu mchana kweupeee
 
unazidi kusaidia upelelezi tu,

taarifa za tra zinaonyesha malipo ya kodi ya mitambo ya kampuni hiyo imeanza kulipwa 03/07/2013,

kwahiyo unazidi kumuanika kinana kuwa miezi minne nyuma alikwepa kolipia kodi ya mitambo hiyo,

kumbe huna data ila upo kwenye upelelezi?
 
Brother hizo nyaraka vipi? na Vienna haipo Uswis kama ulivyosema katika post yako ya kwanza bali ipo Austria.
Hilo unazungumziaje?

Naona bado anasubiri ruhusa ya mods wakati alishapewa kabla hata hajaanza kupost
 
kwani sharif ndo wanahusika na malipo ya strabag huko TRA? acheni ujinga jamani

Kwani hao sharif hawana mtandao wao wa kutoa mizigo bandarini?
Kumbuka huyo Kinana ana mpaka bandari ya nchi kavu hivyo hashindwi kumlipia mteja kila kitu na mteja kupelekewa huduma site bila kufika TRA.
Hivi mtu hawezi nunua gari yad lililolipiwa ushuru wa aina zote hata kama muuzaji alicheza dili TRA mimi mteja si nitalipa kwa muuzaji bei halali?
Ccm bwana au mnataka BIG RESULT NOW kwa ajili ya 2015 kupitia TRA?
 
Tanzania Daima ni gazeti la UDAKU...

UDAKU umezidi kiasi kwamba geographical facts nazo mnataka kuzibadilisha!!!

Tanzania Daima linahusikaje hapo ndugu, au huwa linakuchoma hilo gazeti. Huyo uliemkoti kuihusisha Austria km mji mkuu wa Swiss ni mchangiaji kama ww na wala sio kwny taarifa husika.
 
We uliona wapi msomali mwenye huruma?wameshindwa kuihurumia nchi yao sembuse tanzania?
 
Kwani hao sharif hawana mtandao wao wa kutoa mizigo bandarini?
Kumbuka huyo Kinana ana mpaka bandari ya nchi kavu hivyo hashindwi kumlipia mteja kila kitu na mteja kupelekewa huduma site bila kufika TRA.
Hivi mtu hawezi nunua gari yad lililolipiwa ushuru wa aina zote hata kama muuzaji alicheza dili TRA mimi mteja si nitalipa kwa muuzaji bei halali?
Ccm bwana au mnataka BIG RESULT NOW kwa ajili ya 2015 kupitia TRA?

Ndugu yangu naona hawa vijana wa Lumumba hilo hawalitambui kabisa na hawataki kulisikia,
 
CCM si chama cha siasa,ni kikundi tu cha matapeli,majangili na majambazi!

Shime watanzania tuondoe hiki kikundi cha wahuni la sivyo tutakuja kustuka nchi yote imeuzwa!
Yaani mnapiga pesa yote hiyo wakati mnawaongezea watanzania kodi kupitia kodi ya line ya Simu?

Hivi nani anajua hizi silaha zinazoingizwa nchini zinapopatikana?
 
Kwani hao sharif hawana
mtandao wao wa kutoa mizigo bandarini?
Kumbuka huyo Kinana ana mpaka bandari ya nchi kavu hivyo hashindwi
kumlipia mteja kila kitu na mteja kupelekewa huduma site bila kufika
TRA.
Hivi mtu hawezi nunua gari yad lililolipiwa ushuru wa aina zote hata
kama muuzaji alicheza dili TRA mimi mteja si nitalipa kwa muuzaji bei
halali?
Ccm bwana au mnataka BIG RESULT NOW kwa ajili ya 2015 kupitia
TRA?

atuwekee documents ndo zitamaliza utata
 
mkuu,usimtetee. ameiedit baada ya wadau kumrekebisha

Je hilo linaondoa mantiki ya mada tajwa?

Mimi hata asingeandika uliko zaliwa kampuni hiyo wala haingenisumbua,

Hoja ninayoiona hapa ni Kinana kuliibia taifa
 
Ukombozi wa nchi hii ni mgumu sana. Watu kama hawa watakuwa tayari damu imwagike kuliko kuachia madaraka hata kama wakishindwa uchaguzi. Aidha watakuwa tayari kulipa mabilioni mengi ili kugushi matokeo ya uchaguzi. Ndio maana hata mchakato wa kupata Katiba mpya unakumbwa na sintofahamu! Ni lazima wainunue hata hiyo!!
 
zabuni ya mradi wa ujenzi wa barabara ya mabasi yaendayo kasi jijini dar ulipitia kwenye misukosuko ya urasimu wa hali ya juu baada ya wanachama na makada maarufu wa ccm kuteka mchakato mzima,

mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na katibu mkuu wa ccm ndugu abdulahman kinana ndie aliyeileta nchini tanzania kampuni ya strabag ya ukandarasi wa ujenzi iliyoanzishwa na muastria katika mji wa villach na kuweka makao yake makuu mjini vienna austria ambapo kampuni hii ndiyo ilishinda zabuni hiyo

kinana aliileta kampuni hii kutoka tawi la kampuni hiyo lililopo ujerumani,

kuileta kampuni hiyo nchini ni jambo jema, lakini hoja yangu ni namna kinana anavyousababishia tra kukosa mapato kutoka kwenye kampuni hiyo ya uingizaji mitambo ya ujenzi nchini,

taarifa za tra mpaka jana zilikuwa zinaonyesha kuwa kampuni hiyo imeingiza mizigo/mitambo yenye thamani ya kodi ya shilingi za kitanzania 16 milioni tu kupitia kampuni ya sharaf shipping company ambapo taarifa zinaonyesha kuwa kinana anamiliki hisa 7,500 kati ya 10,000 za kampuni hiyo inayoitwa sharaf shipping company iliyosajiliwa dar es salaam tangu mwaka jana mwezi wa saba.

Kinyume chake taarifa na nyaraka za kiintelijensia kutoka ndani ya kampuni hiyo ya strabag zinaonyesha kuwa kampuni ya strabag imeilipa 8.56 bilioni kampuni ya wakala wa meli ya sharaf shipping company kama malipo stahiki ya kodi ya uingizaji mitambo nchini tangu kampuni hiyo ilipoanza uingizaji wa mitambo ya ujenzi nchini 03-07-2012,

kisha ikailipa tena 7.8 bilioni kama gharama za uwakala wa mitambo hiyo,

wanabodi hayo ni machache tu lakini nitaweka hapa nyaraka za malipo ya strabag kwa sharaf shipping company na nyaraka za malipo ya sharaf shipping company kwa tra kama mods watanipa kibali cha kuweka hapa,

maafisa wa tra wanasema linapofika suala la sharaf shipping company hufanya kazi kwa maagizo ya katibu mkuu wa ccm,

huyo ndie katibu mkuu wa chama tawala nchini tanzania

kwa wale wenye mrengo na ccm hawakuelewi unapoanika haya ,watasema unamwonea kijicho..uliyoyasema ni ya kweli na hakuna awezaye kuyapinga,yanafanana na yale aliyoyasema msigwa bungeni.kinana ni mmoja wa watu wanaitafuna tznia kwa kasi ya ajabu hasa kwa kipindi hiki ambacho ccm inaelekea kuogopwa kama ukoma.
 
Back
Top Bottom