Huyu ndiye Kinana, Je analipeleka wapi taifa letu?

Mbona mnakuja juu sana vijana walumumba kama vile mmepakwa pilipili kwenye makalio,,,,ukweli utabaki pale pale,,,,ngoja atuwekee na evidence nyingine ili mpotee kabisaa

Hawa kama wanayabisha maandishi haya hata niwawekee sauti, picha, na video bado watabisha tu
 
Bora tu tuwe ivi ivi..... Mana sijui wapi duniani, kodi ni 1000%Xthe value of the goods.

Nakupa mwanga kidogo tu,

Strabag hupewa nyaraka feki za malipo ya TRA na Sharaf,

Nyaraka original za TRA hubaki Sharaf tu,

Endelea mbelee
 
tutaishi kwa majungu mpaka lini eti tarifa za ndani labda ndani kwa maana ya chumbani.
 
Ata kama ni habari ya kutunga, lakini kwa ufisadi ulioisha fanywa na CCM hii ni kama tone la maji baharini, tumeisha wachoka sana...ni kichefu chefu, jiandaeni 2015, kama kuna kitu nmlisahau kubeba bebeni kabisa, tumechoka, tunataka kuanza kujenga nchi yetu upya isiyo na najisi!
 
tubandikie hapa hiyo nyaraka ndipo nitasadiki vinginevyo kitoe kule.
 
Ata kama ni habari ya kutunga, lakini kwa ufisadi ulioisha fanywa na CCM hii ni kama tone la maji baharini, tumeisha wachoka sana...ni kichefu chefu, jiandaeni 2015, kama kuna kitu nmlisahau kubeba bebeni kabisa, tumechoka, tunataka kuanza kujenga nchi yetu upya isiyo na najisi!

Angalia unaweza kuwa wa kwanza kufa baada ya ndoto zako kushindwa kutimia.
 
Mizigo inathamani ya kodi shilingi milioni 16 za kitanzania. Strabag wamewapa Sharaf bilioni 8.56 kama stahiki ya malipo ya kodi, hivi ndugu zangu mmeona kama nlivoona mie au mie sijaona vizuri? Mzigo wa milioni 16 ulipiwe ulipiwe 8.56 billions?? Hizi habari nyengine ni ushabiki umewekwa mbele. Hao strabag wamekuwa wageni wa kuingiza mizigo mpaka watoe hizo bilioni zote kwa mzigo wa milioni 16???

Mkuu, huo ndo uwezo wa bavicha kufikiri
 
Ata kama ni habari ya kutunga, lakini kwa ufisadi ulioisha fanywa na CCM hii ni kama tone la maji baharini, tumeisha wachoka sana...ni kichefu chefu, jiandaeni 2015, kama kuna kitu nmlisahau kubeba bebeni kabisa, tumechoka, tunataka kuanza kujenga nchi yetu upya isiyo na najisi!

Duh, 2015 patakuwa patamu kweli. Humu JF kuna watu kama akina WILE GAMBA watakimbia kabisa baada ya rais mtarajiwa toka CCM kutangazwa. itakuwa ni aibu na wengi watapoteza vibarua vyao humu JF
 
tutaishi kwa majungu mpaka lini eti tarifa za ndani labda ndani kwa maana ya chumbani.

Mkuu, usishangae sana. Kigwangala juzi amesema kuwa chadema na mawakala wao akina kubenea sasa wamedoda kutokana na kukosa vibomu ambavyo walikuwa wanapora kwenye ofisi za serikali. hivyo hata huyu jamaa anasema kuwa ataweka documents akipewa ridhaa ya mods ni katika kuonesha kuwa hana kitu
 
Wadau, hivi siku hizi Mods wameweka masharti ya kuattach documents au picha kusupport taarifa yako?
 
Nakupa mwanga kidogo tu,

Strabag hupewa nyaraka feki za malipo ya TRA na Sharaf,

Nyaraka original za TRA hubaki Sharaf tu,

Endelea mbelee

Mkuu nkuulize, wewe binafsi umeingiza gari ambayo umeinunua milioni 4 ulipotoka, umesafirisha imekukosti milioni 2 tufanye, jumla milioni 6, aje agent wa kutoa mizigo, akwambie gari yako kuitoa tunahitaji milioni 600, hebu nambie wewe utafanya nini? Utakubali kitu icho? Maana umetajiwa bei ambayo unaweza ukazipata nyengine nyingi tu iyo gari. Hujiulizi wewe pana nini? Invoice ulonunulia gari unayo wewe, bei unaijua wewe, vipi agent akudanganye kiasi chote icho? Au strabag hawakununua wao mizigo wanenunuliwa na Sharaf? Kama hawakununua wao kweli ntakubali, lakini kama wamenunua wao hiyo haiwezekani labda wawe wote hao watu wa strabag na sharaf wanepiga dili. Mkuu tumia logic, jiweke wewe kuwa ndio strabag, kisha agent akutajie bei ya ajabu kama hiyo, na kwa nnavowajua wenzetu wa nje hawataki masihara, watakuletea meza muanze kupiga hesabu 1 badala ya nyengine, umpangue kodi mwanzo mpaka ifike kiasi ulichotaja. Icho kitu ni kigumu kukubalika
 
Duh, 2015 patakuwa patamu kweli. Humu JF kuna watu kama akina WILE GAMBA watakimbia kabisa baada ya rais mtarajiwa toka CCM kutangazwa. itakuwa ni aibu na wengi watapoteza vibarua vyao humu JF

mkuu ni kweli kunawatu wameambiwa wafanye kazi ya kuchafua ccm ili ife sasa mambo yanakenda tofautii ccm inazidi kuimarika kwa hiyo hawana hoja tena.
 
Mkuu nkuulize, wewe binafsi umeingiza gari ambayo umeinunua milioni 4 ulipotoka, umesafirisha imekukosti milioni 2 tufanye, jumla milioni 6, aje agent wa kutoa mizigo, akwambie gari yako kuitoa tunahitaji milioni 600, hebu nambie wewe utafanya nini? Utakubali kitu icho? Maana umetajiwa bei ambayo unaweza ukazipata nyengine nyingi tu iyo gari. Hujiulizi wewe pana nini? Invoice ulonunulia gari unayo wewe, bei unaijua wewe, vipi agent akudanganye kiasi chote icho? Au strabag hawakununua wao mizigo wanenunuliwa na Sharaf? Kama hawakununua wao kweli ntakubali, lakini kama wamenunua wao hiyo haiwezekani labda wawe wote hao watu wa strabag na sharaf wanepiga dili. Mkuu tumia logic, jiweke wewe kuwa ndio strabag, kisha agent akutajie bei ya ajabu kama hiyo, na kwa nnavowajua wenzetu wa nje hawataki masihara, watakuletea meza muanze kupiga hesabu 1 badala ya nyengine, umpangue kodi mwanzo mpaka ifike kiasi ulichotaja. Icho kitu ni kigumu kukubalika

Unakurupuka sana kusoma taarifa hii mkuu,

Mitambo iliyoingozwa nchini ina thamani ya kodi tu sio thamani ya ununuzi kiwandani,

Hebu rudi soma tena
 
Acha upuuzi wako wa kitoto,

Taifa linaangamia kwa upuuzi wenu
 
Labda mleta mada hujafanya kazi ya agent, mimi binafsi nishafanya iyo kazi kidogo mana mzee wangu ana ofisi, nishakaa na ma agent wengine kiwasoma vipi wanafanya kazi, nishafanya field uko TRA nkajua michongo inachezwa vipi, lakini hii ya kwako ni too much. Na kama unataka kutuwekea nyaraka, nyaraka kubwa utakazoweka hapa labda ni entry form inaonesha mzigo umelipiwa bei ngapi, nakwambia ivi, kwa kutumia system ya izi za ASY CUDA NA SCAN yake, unaweza ukaprint entry bila ya kusubmit kwa maofisa, sasa unweza ukaja na entry ambayo haiko TRA bali umefanya print out kidogo tu ili kujitahidi kuthibitsha story yako. Kitu chengine ambacho hufanywa na agent na mteja wake, ni kufoji invoice kwa kuieka bei chini, ili ushuri uwe mdogo, sasa Koplo sijui wewe uloenda shule kwanini umeshindwa kutumia logic yako, kuwa vipi mteja akubali straight forward kutoa hela zote izo? Acha masihara,milioni 16 ni 16,000,000 na bilioni 8 ni 8,000,000,000 hebu tizama izo figure zinaelekea kulipiwa kodi kweli??
 
Koplo nakwambia ivi, bado hujajitetea apo, kampuni za kitanzania ndio zitayumbishwa sio wenzetu wenye kujali kazi zao, wangewaambia tukae katika meza utupangie hesabu na sio kutaja tu kwa maneno, kutajiwa kwa maneno hufanywa kwa watz tu.
 
Mkuu nkuulize, wewe binafsi umeingiza gari ambayo umeinunua milioni 4 ulipotoka, umesafirisha imekukosti milioni 2 tufanye, jumla milioni 6, aje agent wa kutoa mizigo, akwambie gari yako kuitoa tunahitaji milioni 600, hebu nambie wewe utafanya nini? Utakubali kitu icho? Maana umetajiwa bei ambayo unaweza ukazipata nyengine nyingi tu iyo gari. Hujiulizi wewe pana nini? Invoice ulonunulia gari unayo wewe, bei unaijua wewe, vipi agent akudanganye kiasi chote icho? Au strabag hawakununua wao mizigo wanenunuliwa na Sharaf? Kama hawakununua wao kweli ntakubali, lakini kama wamenunua wao hiyo haiwezekani labda wawe wote hao watu wa strabag na sharaf wanepiga dili. Mkuu tumia logic, jiweke wewe kuwa ndio strabag, kisha agent akutajie bei ya ajabu kama hiyo, na kwa nnavowajua wenzetu wa nje hawataki masihara, watakuletea meza muanze kupiga hesabu 1 badala ya nyengine, umpangue kodi mwanzo mpaka ifike kiasi ulichotaja. Icho kitu ni kigumu kukubalika

Mkuu, kinachosumbua wafuasi wengi wa CHADEMA ni kutoelewa taratibu za kusafirisha mizigo. ukweli ni kwamba, mleta mada kajichanganya kweli na sijui atatokea wapi. Mleta mada hajui tofauti kati ya SHIPPING AGENCY kama ilivyo Kampuni ya SHARAF na Clearing and Forwarding ambazo ndizo hasa zinazohusika na uingizaji na upakuaji wa mizigo. wakala wa meli jukumu lake ni kumwakilisha mwenye meli na hutoa huduma muhimu zinazohitajika kwa wafanyakazi wa meli. Nadhan mleta mada alidhani kuwa SHARAF ndiyo wanaohusika na kulink kati ya TRA na na mwenye mzigo. hizo ndo kazi za Clearing na Forwarding. wao ndo wanajua kuna mizigo gani na ina thamani kiasi gani. umbumbumbu wa aina hii ndiyo hufanya watu wengi wajuchanganye kwenye mada hii
 
Unakurupuka sana kusoma taarifa hii mkuu,

Mitambo iliyoingozwa nchini ina thamani ya kodi tu sio thamani ya ununuzi kiwandani,

Hebu rudi soma tena

Kajipange tena koplo maana kwa hili umechemka sana
 
Back
Top Bottom