Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

Rostam umerudi kwa jina la Sergio? nenda kwenu Iran wewe muajemi Israel awamalize kwa mabomu... si ulisema hutaki siasa Uchwara nini tena kikusikitishacho?

[video]http://haivl.6ja.net/videocliph3Tx3xfmpkg/Rostam%20Aziz%20Press%20Confer ence%201[/video]
 
Na wewe hadi makamu hayo umegombana na wangàpi?
Unaumwa CHUKI
 
Hivi hii serikali ina matege? Mengi amekuwa kiongozi wa hii serikali lini mpaka awe fisadi? Kama Mengi ni fisadi basi serikali ni dhaifu mno kushindwa hata kumfungulia kesi moja tu ya ufisadi. Au inamwogopa? Nahisi kuna wanaccm wakimsika Mengi mikia yao hufika tumboni kama yale maskuno!
 
Mkuu sana Salary Slip,

Inasikitisha sana kwa watu kutetea uovu kwa visingizio vya kijingajinga tu kama hivi vya kuhusisha kashfa ya escrow na ugomvi binafsi kati ya Mengi na Muhongo.
Escrow scandal has nothing to do with Mengi!
Muhongo anapaswa kuwajibika kwa kiwango alichoshiriki kwenye kashfa hii. Yeye pamoja na watetezi wake wanatakiwa wafanye mitigation badala ya kujitetea kipumbavu hivi.
Hata hivyo, tunauhesabu utetezi huu kama dharau na matusi kwa watanzania wenye akili nzuri!

Yaani hapo na wewe unajiona una Akili? Hv wakiitwa wenye akili utakwenda? Kumbuka Sakata la escrow linawahusu Majaji, Gavana,Waziri wa Fedha,Waziri wa viwanda na Biashara na huko Wizara ya Nishati, kwa Lugha rahisi hapo kuna Mlolongo wa vitengo. Cha Ajabu ni Kwamba Mengi na Mkono wameamua kutumia pesa na Vyombo vyao kamkomalia Muhongo peke yake kisa Mengi alinyimwa Vitalu vya Gesi na Mkono akinyang'anywa tenda za kisheria baada ya kuonekana analipwa pesa nyingi pasipo kushinda Kesi hata moja, na Huyo baba yako Mengi katumia Mabilioni kuwapa akina Sendeka na wenzake ili wamung'oe Muhongo kisa masilahi binafsi tu.watanzania wa sasa wameamka wanajua kubalance pande zote, usidhani watu wamekariri kuwa Mengi ni MUNGU hana doa wala dhambi kama wewe ulivyokariri.
 
Hivi hii serikali ina matege? Mengi amekuwa kiongozi wa hii serikali lini mpaka awe fisadi? Kama Mengi ni fisadi basi serikali ni dhaifu mno kushindwa hata kumfungulia kesi moja tu ya ufisadi. Au inamwogopa? Nahisi kuna wanaccm wakimsika Mengi mikia yao hufika tumboni kama yale maskuno!
Ujue Tz ipo hivi hakuna aliye Msaafi kiasi cha kumunyooshea mwenzake kidole, Watumishi wengi wa serikali wanaishi kinyume na Vipato vyao Harisi, wakiletwa FBI hapa wawachunguze Watumishi na Wafanyabiasha wakubwa mmoja baada ya mwingine wote wataishia Jela, sasa Mengi kaitumia fursa hiyo anawajua wengi Jinsi wanavyoishi hivyo Mengi na wao wanaogopana, mtandao wa Mengi kwa sasa umekuwa Mtandao mkubwa sana Baada ya Rostam kuuza vyake na kumugawia Mengi Mabilioni ili kumtuliza asitoe Siri ya Ukwepaji kodi na kumaliza in Ugonvi wao. Hizo pesa ndizo zinatumika kumung'oa Mhongo, wajanja sasa wapo busy wakibuni njia za kwenda kula pesa za Mengi kwa kisingizio cha kumsaidia kumung'oa Mhongo ( kufa kufaana)
 
Sio kwamba ni fisadi tu bali pia na arrogance anayo tuonyesha pale anapokosa. You just hope wizara ya nishati na madini ishakomba vitalu vyote vya madini ambavyo ajaviendeleza.

Angekuwa anapambana au analeta utani wake na serikari za wazungu ndio angetia akili na kujulishwa nani mwenye power na limitation yake ilipo amuulize Khodorkovsky au Al-Fayed.

Mengi hana hamu na Muhongo! Kwani baada ya Kumpatia Mabilioni Sendeka na wenzake alijua kila kitu kitamalizikia kule kule Dodoma,yaani mpaka sasa amepoteza mapesa kibao kwa Kamati za Ufundi na wajanja wa Town wanachuna kwa kwenda mbele, Mengi hapati Usingizi akisikia jina la Muhongo kaapa atauza hadi tambala la deki ahakikishe Muhongo anang'oka.
 
Mkuu naona hapo pa Muhongo ndio hasa ambapo umepalenga, huko kote kwingine ni hadithi tu. Hongera kwa kumtetea bosi wako Muhongo. Mkuu uelewe kitumbua kimeisha ingia mchanga, sisi watanazania sio wajinga wala wapumbavu, tunajua mbichi na mbivu, kuendelea kutetea mafisadi wenu mnajivua nguo wenyewe. Uzi wako mzima unatetea mafisadi papa, mkuu shame on you.
Ebu jiulize iweje Mtu ambaye si Msaafi amunyooshe mwingine vidole? Huyo Mengi yeye si msaafi kabsa tana ana Madhambi kibao iweje awe kinara wa kuwang'oa wengine? Mengi kala Mabilioni ya Rostam na amemsaidia kuuza vyake kisha kutimuka pasipo kulipa kodi, yaani kwa Lugha rahisi kodi alimpatia Mengi badala ya serikali, Huyo babu Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi Mengi hakuna mfano.
 
tatizo lenu nyie vidampa wa mafisadi hamjui kuwa mkipambana na mengi mnapambana na wananchi.

Wewe ndiye kidampa wa Mengi ambaye ni Rais wa mafisadi japo umekariri kuwa Mengi ni MUNGU hana doa wala si Fisadi,kwa taarifa yako Huyo baba yako Mengi ni fisadi mkubwa kuliko unavyofikiri na hakuna mwananchi yupo nyuma yake kwani wengi wameshamshitukia umebaki wewe peke yako. Kumbuka watanzania wa sasa si wale wa zamani.
 
m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

Nadhani akili yako imejaa matope, ma.v.i na kila aina ya uchafu. Kwahiyo katiba bora ndio hiyo ya change? Hovyo kabisa!
 
Majibu ya Muhongo kuwa zile fedha si za umma hayatofautiani na yale ya pm Pinda, katibu mkuu Maswi na rais Kikwete. Ni kwann media za Mengi zinamkomalia Muhongo tu mwanzo mwisho? Mimi ningemuelewa kama angewaandama wote hao wajiuzuru.
Lakini vile vile imesemwa mara nyingi tu kuwa maamuzi ya kiutendaji ya akina Muhongo na Maswi juu ya fedha za escrow yaliathiriwa na ushauri potofu wa mwanasheria mkuu Werema na yalikuwa na baraka zote za baraza la mawaziri.
Kwa kusema hivi siyo kwamba natetea ufisadi ama akina Muhongo. La hasha! Hata kidogo! Ugomvi wangu mimi ni kwamba kwanini Mengi anamuandama Muhongo tu?? Wengine hawaoni? Au ni chuki ya kunyimwa vitalu vya gesi??
Mengi na Mkono wana Chuki kubwa sana Muhongo wanatamani hata wamuchacha wangwe lakini hawana jinsi, ndiyo Maana wakaamua kuwaacha wengine na kukomaa na Muhongo peke yake.
 
m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

Nafikiri akili yako imejaa matope,makamasi na kila aina ya uchafu. Kwahiyo katiba bora ndio hiyo ya chenge? Hovyo kabisa!!

Nadhani akili yako imejaa matope, ma.v.i na kila aina ya uchafu. Kwahiyo katiba bora ndio hiyo ya change? Hovyo kabisa!
 
Mengi kuendelea Kutumia pesa nyingi kumung'oa Muhongo badala ya kuboresha mishahara ya wafanyakazi wake inawakera sana ndiyo maana wengi wapo humu JF wanamshambulia Mengi kwani wanataka awaboreshee masilahi yao kwanza ndipo aendelee na vita zake Binafsi na Muhongo.
 
Historia inaonesha kuwa wote walioshindana na mengi hasa wanasiasa wote chali kuanzia akina Masilingi, Masha, Khan, hata huyu Muhongo atang'oka tuu
Mkuu ongezea na fisadi Lowasa na hao wafanyabiashara aliowataja si wafanyabiashara kitu ni mafisadi wa kutupwa,hivi mleta mada ana maana gani anposema eti akataka kuufanya ugomvi wa nchi nzima.
 
Mzee Mengi heri ya mwaka mpya! Nashukuru kwa mara nyingine umekuwa katika limelight ya wajinga wasiojua nini hasa wanataka au kutetea. Nashukuru kwa sababu, safari yao ya mwisho hapo October, kwa makusudi kabisa wanaiharakisha kwa kupanda Fast jet badala ya boda boda. Haiingii akilini kwa muda huu mtu yeyote aliyeko kwenye utawala huu or CCM anaweza kiujinga kabisa akaamua kupambana na Mr. Mengi. Mwenye akili atajikumbusha ukweli ufuatao. Mengi ni MZAWA, Biashara zake zote faida yake inatumika hapa, siyo Uingereza, India, Yemen, Canada, Oman or Ajemi etc etc. Biashara zake zimetoa ajira ya kutosha kwa watanzania wengi kuliko hao unaowatetea ambao wamejikwapulia 40% badala ya 10% bila kujali mwananchi. Kumdhihaki ni kuadhibu CCM. Pili, huyu Mengi ana nguvu ambayo akiamua kuitumia kama ilivyokuwa kwa Belusconi wa Italy, leo hii Mengi angelikuwa ni rais wa nchi hii or kingmaker. Kumdhihaki ni kuichimbia kaburi CCM.
Nimekuwa nikimwomba mzee Mengi siku zote afanye yafuatayo ili kuwapiga bakora hawa wajinga ambao kwa kutokujua wanaamua kutupia maadui zao mawe wakati wako ndani nyumba ya vioo. Afanye yafuatayo;
1. Weka wazi msimamo kisiasa. Najua it is risky, lakini ni ukweli pia ili mtu aende peponi kwanza lazima afe. Hii hali ya kukaa tunawakumbatia CCM na serikali yao ndo wametufikisha hapa. Kwa maana hiyo basi, media yako yote ielekeze kwenye somo la uraia kuwaelimisha watanzania na pia ku-cover matukio yote ya vyama hasa opposition. (misinformation ya CCM kwa muda mrefu imeathiri sana uelewa kwa watanzania wengi)
2. Kama siyo lazima uonyeshe msimamo ki chama, then direct Media empire yako isupport opposition na Civic education. Ongeza parcentage za coverage.
3. Vyama vikuu vya upinzani havina TV/Radio zao (ambalo ni kosa kubwa); toa regular time, kila siku kwa opposition (prime time) ili kuelezea madudu ya CCM/serikali na kuelezea sera Zao.
4. Kuwa na kipindi chako kila wiki cha kujiuza, nini umefanya kwa nchi yako na Nini ungependa kifanyike. Kipindi hiki kinaweza pia kikawa kinakaribisha watanzania wengine wazalendo. Kiwe cha wazi bila kumung’unya maneno. (hawa wajinga watakuheshimu).
Naamini, bila kuwawezesha wazalendo, maendeleo hayatapatikana; bila kupiga vita ufisadi maendeleo hayatapatikana; bila kuchukua hatua kwa wanaohujumu uchumi wa nchi maendeleo hayatapatikana; bila kuwa na katiba ya watanzania maendeleo hayatapatikana; bila kuchukua risk mabadiliko ya kweli na maendeleo hayatapatikana. WAKATI NI HUU.

Big up bro!
 
  • Thanks
Reactions: WCM
huko kwingine sijui ila kwa bongo nenda vijijini ikifika taarifa ya habari usiku utaona watu wanajazana vibandani kuangalia ITV,ITV imekuwa kama tv ya taifa hamna mwenye mda na tbc

Huu msukule wa muhongo umepewa viroba ili upost choo kubwa
 
watanzania tuna mahaba ya ajabu sana...na ni wepesi sana kusahaulishwa tulishalishwa sumu ya kuaminishwa. Huwa hata hatufikiri juu ya mambo mengine tena...ni kama reasoning yetu inakuwa blured.
Siutetei ufisadi wa escrow wala pia sioni vilevile kama mengi ni mtu mbaya saana.
Ila nimemuelewa mtoa mada. Mtoa mada amejaribu kuonyesha the otherside of the so called mtetezi wa wanyonge....full of ----.
Siku zote nimekuwa nikijiuliza hv ni mpaka mengi awe na maslahi juu ya jambo flani ndio atushirikishe kwenye ugomvi wake? halafu anatulazimisha kuangalia ugomvi wake kwenye tv station yake. Kifupi anatuona maboya na sisi tumejisahau na kujisemea eti ni mtetezi wa wanyonge...lakini ukiangalia utetezi huo huja baada ya kuwa amekosana na mtu flani juu ya jambo lenye maslahi flani. au utetezi ni kulisha albino diamond jubilee?

Mengi ni mzalendo zaidi ya profesa omba omba....
 
Imeniingia akilini Huyu Mengi si bure amekuwa km mwanamke mjazito kila siku analalama yy tu mara ndimu,mara udongo,mara hichi pumbavu huyu mzee ila some time yes some time no
 
FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

Kwanini Usiombe Tu Appointment Nae Ili Uweze Kumfungukia Mbele Yake Physically? Unafaa Kuwa Poet.
 
Back
Top Bottom