Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

misukule ya Prof.Muhongo kazini hakuna mtu mwenye busara kama Mengi

Msukule mwenyewe, ana busara gani zaidi ya UDALALI WA KUUza RaSILImalI....

Mwambieni atafute agenda nyingine hii ya kumwondoa Prof. Itawasumbua sana....
 
Yani mengi kutetea wananchi wa nchi hii mafisadi hawataki kabisa kusikia.mengi watanzania tupo na wewe wala usihofu.

Anawatetea Wananchi wapi? Pati za walemavu huwa anazitumia kuomba misamaha ya kodi, wafanyakazi wake anawalipa mishahara Mibovu, Vitalu vya Gesi angepata leo hii msingemjua Mhongo, Mengi hana huruma na Mtu yupo kwa masilahi yake tu, Rostam Azizi alijua kuwa asipompa Pesa Mengi atapayuka sana kuwa hajalipa kodi na kweli sasa Mengi amekaa kiimya na kamsaida Rostam kukwepa kodi, Mengi yupo kwa Masilahi yake tu hata Huyo Muhongo angekuwa amempatia Mengi Vitalu vya Gesi na Mkono bado ni mwanasheria wa Tanesco wangekaa kiimya na hakuna mtu angejua kitu, sasa jua kuwa Mengi ni Mnafki sana akipata kitu hukaa kiimya akikosa huanzisha moto kisha kusaka huruma za wananchi.
 
Ufisadi anaoupigia kelele Mengi ni dhidi ya wafanyabiashara wenzake... hali inayowafanya wengine waamini kwamba anatumia gia hiyo dhidi ya mahasimu wake kibiashara! Mtu haihitaji kuwa na shahada kufahamu kwamba, kila alipo fisadi mfanyabishara, mkono wake wa kuume kuna fisadi mwanasiasa, ama kiongozi wa serikali au kiongozi wa umma! Mengi aliwachana wazi wazi Rostam Aziz na Yusuf Manji kwamba ni mafisadi... nisaidia wewe sasa! Je, Mengi hadi leo ametutajia ufisadi wa Manji na Rostam Aziz ulihusisha wanasiasa gani?

Haya huyu Muhongo, ugomvi dhidi yake wala sio ufisadi per se bali hatua ya Muhongo kuwaambia akina Mengi kwamba hakuna preferential treatment kwenye suala la vitalu vya gesi! Sasa ni ufisadi gani huu wa kila siku kuusema pindi tu anapogambana na watu?

Mengi anachokitaka ni kua na usawa kwani hata wazawa wakiunganisha nguvu zao wanauwezo mkubwa sana tena sana ktk uwekezaji wa gesi na rasilimali tulizonazo sio lazima wawekezaji watoke nje.
 
Jadilini kwa facts, Mengi anaingia vipi hapa, hivi Mengi ndio aliemuambia muhongo atoe fedha kwenye account ya escrow
bila kufuata utaratibu.

Yaani kuiba aibe yeye alafu mnatafuta watu wakuwasingizia ebu muogopeni MUNGU. Muhongo wajibika acha kujishusha kiasi hicho unatia aibu.

Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi Mengi na mbinu nyingi za kuipelekesha Serikali atakavyo japo sasa kadogo watanzania wameamka na kuamia kumchana live.
 
Ufisadi anaoupigia kelele Mengi ni dhidi ya wafanyabiashara wenzake... hali inayowafanya wengine waamini kwamba anatumia gia hiyo dhidi ya mahasimu wake kibiashara! Mtu haihitaji kuwa na shahada kufahamu kwamba, kila alipo fisadi mfanyabishara, mkono wake wa kuume kuna fisadi mwanasiasa, ama kiongozi wa serikali au kiongozi wa umma! Mengi aliwachana wazi wazi Rostam Aziz na Yusuf Manji kwamba ni mafisadi... nisaidia wewe sasa! Je, Mengi hadi leo ametutajia ufisadi wa Manji na Rostam Aziz ulihusisha wanasiasa gani?

Haya huyu Muhongo, ugomvi dhidi yake wala sio ufisadi per se bali hatua ya Muhongo kuwaambia akina Mengi kwamba hakuna preferential treatment kwenye suala la vitalu vya gesi! Sasa ni ufisadi gani huu wa kila siku kuusema pindi tu anapogambana na watu?

Mengi anachokitaka ni kua na usawa kwani hata wazawa wakiunganisha nguvu zao wanauwezo mkubwa sana tena sana ktk uwekezaji wa gesi na rasilimali tulizonazo sio lazima wawekezaji watoke nje.

Au wao hawana uwezo kisa hawatoi 10%?
 
Mengi amezoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi. Utajiri wake kaukuza kilaghai i.e kwa kichoma makampuni na kulipwa bima ndefu. Mbulula wengi wanamuona mtetezi wa wanyonge. Waapi bwana
Hivi ninyi misukule ya mafisadi mtatumika hadi lini? mengi ndiye aliyemtuma muhongo na genge lake la wezi kuiba kinyemela fedha za umma kwenye escrow account? hebu kuweni wazalendo japo kidogo
 
Acha kuwa mvivu wakufikiri, Muhongo wajibika acha kujitia aibu hili linakuhusu na bado, huwezi kumtumia mengi kukwepa hili.

Anawatetea Wananchi wapi? Pati za walemavu huwa anazitumia kuomba misamaha ya kodi, wafanyakazi wake anawalipa mishahara Mibovu, Vitalu vya Gesi angepata leo hii msingemjua Mhongo, Mengi hana huruma na Mtu yupo kwa masilahi yake tu, Rostam Azizi alijua kuwa asipompa Pesa Mengi atapayuka sana kuwa hajalipa kodi na kweli sasa Mengi amekaa kiimya na kamsaida Rostam kukwepa kodi, Mengi yupo kwa Masilahi yake tu hata Huyo Muhongo angekuwa amempatia Mengi Vitalu vya Gesi na Mkono bado ni mwanasheria wa Tanesco wangekaa kiimya na hakuna mtu angejua kitu, sasa jua kuwa Mengi ni Mnafki sana akipata kitu hukaa kiimya akikosa huanzisha moto kisha kusaka huruma za wananchi.
 
Anawatetea Wananchi wapi? Pati za walemavu huwa anazitumia kuomba misamaha ya kodi, wafanyakazi wake anawalipa mishahara Mibovu, Vitalu vya Gesi angepata leo hii msingemjua Mhongo, Mengi hana huruma na Mtu yupo kwa masilahi yake tu, Rostam Azizi alijua kuwa asipompa Pesa Mengi atapayuka sana kuwa hajalipa kodi na kweli sasa Mengi amekaa kiimya na kamsaida Rostam kukwepa kodi, Mengi yupo kwa Masilahi yake tu hata Huyo Muhongo angekuwa amempatia Mengi Vitalu vya Gesi na Mkono bado ni mwanasheria wa Tanesco wangekaa kiimya na hakuna mtu angejua kitu, sasa jua kuwa Mengi ni Mnafki sana akipata kitu hukaa kiimya akikosa huanzisha moto kisha kusaka huruma za wananchi.

tatizo lenu nyie vidampa wa mafisadi hamjui kuwa mkipambana na mengi mnapambana na wananchi.
 
Acha upotoshaji ww, sema Muhongo amepata mgao wa Escrow kupitia benki gani na sh.ngapi?

Pole sana hvi nyie hajawaambia kiasi alichochukua wakati kawatuma kuja kumchafua na kumtusi mzee Mengi? Sasa anawalipaje kama hataki kua muwazi kwenu?
 
Mnamkumbatia mwizi harbinder singh seth na kumkashifu mengi mzalendo wa kweli.kisa hatoi
rushwa.
 
Sema ni wangapi wanafaidika na wizi wa Mengi si Utajiri kwani Mengi si Mtu Saafi kama watu walivyokariri, wafanyakazi wake Anawaibia kwa kuwalipa mishahara mibovu,Mengi si mlipaji kodi, NBC bank hawajamsahau milele, Rostam kampa Mabilioni baada ya kuuza hisa zake za voda kwa dola million 300 akamsaidia kutimua Nchini pasipo kulipa kodi,Mengi kama lilivyo jina lake ana Madhambi Mengi sana.

Ukitaka kujua wananufaika vipi nenda pale Ipp ndio utajua. Angekua anakwepa kodi naamini mamlaka husika TRA ingekua ishamshukia au unataka kusema wanamuogopa?
 
Tuwekee ripoti hapa inayoonyesha uhusika wa Mengi ktk kuchoma bank sio unapost ujinga ulionao kichwani.
Ukabila ndiyo umekutawala mpaka unashindwa kusimama kwenye ukweli nani hajui kuwa mengi anahusika na kuchomwa kwa benki mbona kila kitu kipo wazi mengi ni mwizi na fisadi namba moja katika ukanda huu wa SECAFA.
 
Jadilini kwa facts, Mengi anaingia vipi hapa, hivi Mengi ndio aliemuambia muhongo atoe fedha kwenye account ya escrow
bila kufuata utaratibu. Yaani kuiba aibe yeye alafu mnatafuta watu wakuwasingizia ebu muogopeni MUNGU. Muhongo wajibika acha kujishusha kiasi hicho unatia aibu.

Mengi ni Mnafki sana akipata kitu huwa kiimya na Laiti angepata Vitalu vya Gesi leo hii watanzania wasingekuwa wanamjua Muhongo, si umeona Rostam kauza hisa zako voda kwa dola million 300 akamugawia Mabilioni Mengi ili kumalizana Ugonvi wao na Mengi akamsaidia kuondoka na Hayo Mabilioni pasipo kulipa kodi kutokana na Uzoefu wake wa Ukwepaji kodi, tatizo Mengi kasahau kuwa watanzania wa sasa si wale wa zamani ambao waliokariri kuwa Mengi ni MUNGU hawezi kuwa na doa wala Dhambi.
 
Mnamkumbatia mwizi harbinder singh seth na kumkashifu mengi mzalendo wa kweli.kisa hatoi
rushwa.
Mengi kafilisi NBC halafu wewe unaleta uminga hapa tunahasira naye kweli fisadi huyu wizi wake hata aibu hana.
 
Unapoteza muda bure na huyu Mtanzania halisi. Mengi ni mzalendo wa ukweli.
 
Acha kuwa mvivu wakufikiri, Muhongo wajibika acha kujitia aibu hili linakuhusu na bado, huwezi kumtumia mengi kukwepa hili.
Matapeli kama mengi sasa hawana nafasi kwenye nchi hii aliiba sana kipindi kile watu bado wamelala sasa wako macho hawaibiwi tena tutamalizia mwaka huu hatuna mchezo.
 
Ukitaka kujua wananufaika vipi nenda pale Ipp ndio utajua. Angekua anakwepa kodi naamini mamlaka husika TRA ingekua ishamshukia au unataka kusema wanamuogopa?

Wengi ni watu wake ana mtandao mkubwa humo kwani hizo mbinu za kukwepa kodi anazijua kuliko mtanzania yeyote ndiyo maana hata Rostam Azizi kamtumia Mengi kutimuka nchini na Mabilioni pasipo kulipa kodi.
 
Mengi anachokitaka ni kua na usawa kwani hata wazawa wakiunganisha nguvu zao wanauwezo mkubwa sana tena sana ktk uwekezaji wa gesi na rasilimali tulizonazo sio lazima wawekezaji watoke nje.

Kwani wawekezaji wazawa wamekatazwa kushiriki? Alichotaka Mengi ni usawa au preferential treatment? Uliisoma presentation yake ukaona hoja ya Mengi ni ipi?

Tukiweka mambo mengine pembeni na endapo nchi isingekuwa na tatizo sugu la ufisadi, basi hoja ya Mengi ni ku-favor wafanyabishara wazawa wachache wenye networking wakati hoja ya Muhongo ni kwa maslahi ya Watanzania wote.

Wakati Mengi anataka shughuli za mafuta na gesi waachiwe wafanyabishara, hoja ya Mengi ni kwamba Watanzania wawakilishwe na TPDC ingawaje vile vile mzawa mmoja mmoja anaweza kushiriki kivyake... hakuna mzawa aliyekatazwa na wala sheria haisemi hivyo! Anachopinga Muhongo ni hoja ya Mengi kwamba TPDC isijishughulishe na shughuli za mafuta na gesi na badala yake waachiwe wafanyabiashara!!

Lakini ajabu ni kwamba, mashirika karibu yote makubwa duniani ya mafuta na gesi ni ya serikali. Kwanini Mengi hataki TPDC ijishughulishe na shughuli za mafuta na gesi?
 
Back
Top Bottom