sijui kama mengi ni fisadi au la, ila ninacho amini si msafi kama anavyo act, logically, mtu msaidivu kwako si yule ambaye anaye kupa chakula kila siku bali ni yule ambae atakupa means ambazo zitakuwezesha nawe uweze kujitafutia mkate wako mwenyewe kiasi kwamba hata siku yeye akifa utaweza kumudu kujitafutia. Ile part anayo waalika walemavu mie sioni kama anafanya la maana. Pale huwa anataka publicity. It would have make sense kama angeamua kila mwaka awainue( aidha kwa kuwapa nyenzo za kujikimu kimaisha au mtaji, biashara) walemavu hata watano tu kila mwaka ningeona kweli kafanya la maana. Si kuwapa pilau mara moja kwa mwaka alafu siku nyingine wanarudi kwenye msoto wao wa kila siku.
Tena nawasiwasi na hiyo party usikute anafanya matambiko ya kwao/au anawachukulia nyota( though am not sure)