Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Profesa Muongo yupo kazi humu JF sasa.
Karibu Prof Muongo, huku ndiko tunakotiana moyo na kupeana ushauri mbalimbali, Karibu sana Ila huku hatutaki mambo ya kizushi na uongo kama jina lako
 
Ni aibu sana kwa prof, badala ya kufanya academic research anahangaika kueneze propaganda. Shida kweli kweli
 
Huyu prof wa ajabu kweli kweli, anamtukana Sendeka wakati yeye ni kilaza kuliko Sendeka
 
Kama ni kweli unavyosema Kwenye kipengele chako [m] kuwa bwana Mengi ameungana na UKAWA kupinga hiyo wewe unayoiita katiba NZURI basi bwana Mengi ni mzalendo wa kupigiwa mfano kwani hakuna mwananchi mwenye akili timamu atakaeunga mkono katiba iliyosimamimwa na fisadi nambari wani Chenge na mwenzie SITTA halafu ukaiita katiba nzuri!!
 
Huyu prof wa ajabu kweli kweli, anamtukana Sendeka wakati yeye ni kilaza kuliko Sendeka
 
Mzee Mengi heri ya mwaka mpya! Nashukuru kwa mara nyingine umekuwa katika limelight ya wajinga wasiojua nini hasa wanataka au kutetea. Nashukuru kwa sababu, safari yao ya mwisho hapo October, kwa makusudi kabisa wanaiharakisha kwa kupanda Fast jet badala ya boda boda. Haiingii akilini kwa muda huu mtu yeyote aliyeko kwenye utawala huu or CCM anaweza kiujinga kabisa akaamua kupambana na Mr. Mengi. Mwenye akili atajikumbusha ukweli ufuatao. Mengi ni MZAWA, Biashara zake zote faida yake inatumika hapa, siyo Uingereza, India, Yemen, Canada, Oman or Ajemi etc etc. Biashara zake zimetoa ajira ya kutosha kwa watanzania wengi kuliko hao unaowatetea ambao wamejikwapulia 40% badala ya 10% bila kujali mwananchi. Kumdhihaki ni kuadhibu CCM. Pili, huyu Mengi ana nguvu ambayo akiamua kuitumia kama ilivyokuwa kwa Belusconi wa Italy, leo hii Mengi angelikuwa ni rais wa nchi hii or kingmaker. Kumdhihaki ni kuichimbia kaburi CCM.
Nimekuwa nikimwomba mzee Mengi siku zote afanye yafuatayo ili kuwapiga bakora hawa wajinga ambao kwa kutokujua wanaamua kutupia maadui zao mawe wakati wako ndani nyumba ya vioo. Afanye yafuatayo;
1. Weka wazi msimamo kisiasa. Najua it is risky, lakini ni ukweli pia ili mtu aende peponi kwanza lazima afe. Hii hali ya kukaa tunawakumbatia CCM na serikali yao ndo wametufikisha hapa. Kwa maana hiyo basi, media yako yote ielekeze kwenye somo la uraia kuwaelimisha watanzania na pia ku-cover matukio yote ya vyama hasa opposition. (misinformation ya CCM kwa muda mrefu imeathiri sana uelewa kwa watanzania wengi)
2. Kama siyo lazima uonyeshe msimamo ki chama, then direct Media empire yako isupport opposition na Civic education. Ongeza parcentage za coverage.
3. Vyama vikuu vya upinzani havina TV/Radio zao (ambalo ni kosa kubwa); toa regular time, kila siku kwa opposition (prime time) ili kuelezea madudu ya CCM/serikali na kuelezea sera Zao.
4. Kuwa na kipindi chako kila wiki cha kujiuza, nini umefanya kwa nchi yako na Nini ungependa kifanyike. Kipindi hiki kinaweza pia kikawa kinakaribisha watanzania wengine wazalendo. Kiwe cha wazi bila kumung'unya maneno. (hawa wajinga watakuheshimu).
Naamini, bila kuwawezesha wazalendo, maendeleo hayatapatikana; bila kupiga vita ufisadi maendeleo hayatapatikana; bila kuchukua hatua kwa wanaohujumu uchumi wa nchi maendeleo hayatapatikana; bila kuwa na katiba ya watanzania maendeleo hayatapatikana; bila kuchukua risk mabadiliko ya kweli na maendeleo hayatapatikana. WAKATI NI HUU.
 
Tatizo la wabongo tuna roho ya kwann kama kapata kapata tu jitume na wewe utamfikia hata baharesa angekaa chini na kukashif walio mtangulia asingekua hapo acha umbea fanya kazi kwa bidii.
 
Serikali yetu tukufu inayoongozwa na CCM siyo dhaifu kama mleta mada anavyotaka kuaminisha watanzania. Kama unayosema mleta mada ni ya kweli hakika serikali yatu imara ingemshughulikia mengi. wewe ni mchonganishi; unaishitaki serikali kwa wananchi kwa jambo ambalo ni uzushi.
 
Ni tabia ya kawaida ya mwanadamu yeyote kutaka kusifiwa kwa mema na sio kwa mabaya ayafanyayo hivyo sioni Kama ni tatizo watu kuongelea mapungufu ya Mengi ,toa kibanzi kilichopo kwenye jicho lako ndipo uweze kuwanyooshea wengine vidole .Aslaam Aleykum
 
Na wewe umeandika hii habari kwa faida ya nani!? Kibaraka mkubwa mchumia tumbo
 
Mzee Mengi heri ya mwaka mpya! Nashukuru kwa mara nyingine umekuwa katika limelight ya wajinga wasiojua nini hasa wanataka au kutetea. Nashukuru kwa sababu, safari yao ya mwisho hapo October, kwa makusudi kabisa wanaiharakisha kwa kupanda Fast jet badala ya boda boda. Haiingii akilini kwa muda huu mtu yeyote aliyeko kwenye utawala huu or CCM anaweza kiujinga kabisa akaamua kupambana na Mr. Mengi. Mwenye akili atajikumbusha ukweli ufuatao. Mengi ni MZAWA, Biashara zake zote faida yake inatumika hapa, siyo Uingereza, India, Yemen, Canada, Oman or Ajemi etc etc. Biashara zake zimetoa ajira ya kutosha kwa watanzania wengi kuliko hao unaowatetea ambao wamejikwapulia 40% badala ya 10% bila kujali mwananchi. Kumdhihaki ni kuadhibu CCM. Pili, huyu Mengi ana nguvu ambayo akiamua kuitumia kama ilivyokuwa kwa Belusconi wa Italy, leo hii Mengi angelikuwa ni rais wa nchi hii or kingmaker.

Afadhali umemwambia ukweli mleta mada ambaye lengo lake ni kutetea mafisadi wa CCM. Nakazia ulichomwambia hapo kwenye red hata maandiko matakatifu (hapa narejea Biblia) Sira 8:1 yanasema "Usishindane na mtu mwenye uwezo, la sivyo utajikuta makuchani mwake".
 
  • Thanks
Reactions: WCM
Wanahangaika sana kumtete prof wa kurudia darasa la saba x 3! ... Kuwadi huyu wa Rasilimali zetu hatufai, Hope JK anafahamu kuwa sisi wananchi tumesha m-delete huyu prof Muongo Long time... Kimya chake ni Majanga kwa CCM furaha kwa UKAWA na Watanzania wenye kujitambua!!!
 
tujenge hoja tusipayuke! hiv nani atakayekubali kuwa aliye tuandikia katiba ni msafi? A.CHENGE ni kashifa gan hakutajwa
 
Hii ni copy paste kaongeza hayo ya mwisho nadhani muhongo ndo kamtuma wasemavyo wengi tarehe 30 desemba 2014 nilijua rasmi muhongo ni poor ktka mawasiliano pale alipokuwa anajibuwananchi,tafuta tbc muhutasari habari saa saba au saa kumi tarehe tajwa alikuwa serengeti kama sikosei
 
Hivi waliolamba hela za Esrow hawajajinufaisha na familia zao tu?

Alafu hivi ile ripoti ya CAG iliandaliwa na Mengi?

Hivi Mengi ndio alimwambie Muhongo asifanye due diligence?

Ni mengi ndie aliemshauri Muhongo aseme zile pesa hazikuwa mali ya umma?

Hivi ni Mengi ndie aliemshauri Muhongo aseme kuwa ile hukumu ya mahakama ilihusu pia mgawanyo wa hela za Escrow?

Hivi ni Mengi ndie aliemuandalia Muhongo ule utetezi wake wa uongo aliousoma ndani ya bunge na kuwachefua wabunge?

Hivi ni Mengi ndie aliemtia upofu waziri Muhongo asione wala kushituka ukakasi uliokuwa unaendelea katika wizara yake kuhusu account ya Escrow?

Je,ni kwanini Maswi kasimamishwa kazi?

Kama Maswi anawajibika,inakuwaje waziri wake asiwajibike?

Kama Lowassa aliwajibika kwa makosa ya walio chini(siamini sana katika hili kwani nae mwenyewe si msafi) inakuwaje Muhongo nae asiwajibike kwa makosa ya walio chini yake?

Hivi kilichokuwa kinaendelea bungeni kuhusu Escrow kiliKuwa kinarushwa na ITV au TBC1?

Inawezekana kweli Mengi nae ana matatizo yake lakini katika hili, Mengi ame-take advantage tu ya makosa ya mbaya wake na kuvitumia vyombo vyake vya habari kuujulisha umma kuhusu madudu ya Muhongo.

Je,hilo ndio kosa la Mengi?

Je,Kashifa hii inaripotiwa na IPP media tu?

Kwa hali hii, Muhongo kachafuliwa na Mengi au kajichafua mwenyewe?

Mkuu sana Salary Slip,

Inasikitisha sana kwa watu kutetea uovu kwa visingizio vya kijingajinga tu kama hivi vya kuhusisha kashfa ya escrow na ugomvi binafsi kati ya Mengi na Muhongo.
Escrow scandal has nothing to do with Mengi!
Muhongo anapaswa kuwajibika kwa kiwango alichoshiriki kwenye kashfa hii. Yeye pamoja na watetezi wake wanatakiwa wafanye mitigation badala ya kujitetea kipumbavu hivi.
Hata hivyo, tunauhesabu utetezi huu kama dharau na matusi kwa watanzania wenye akili nzuri!
 
Yawezekana Mwandishi UMESHA PEWA PESA ZA IPTL. Kutokana na ulivyo andika nimekupata, je umepewa ngapi?
 
Sio kwamba ni fisadi tu bali pia na arrogance anayo tuonyesha pale anapokosa. You just hope wizara ya nishati na madini ishakomba vitalu vyote vya madini ambavyo ajaviendeleza.

Angekuwa anapambana au analeta utani wake na serikari za wazungu ndio angetia akili na kujulishwa nani mwenye power na limitation yake ilipo amuulize Khodorkovsky au Al-Fayed.
 
Back
Top Bottom